kupata karatasi sio ujanja,it could also be a matter of luck,truth be told sacrifice zinazofanya na akina dada kupata karatasi huwezi kuamini, yaani ukitaka kuoa dada mwenye makaratasi,inabidi ujiulize maswali mengi sana sio unakimbilia kuoa,alaafu baadaye unaipata past yake unamkimbiaNasikia huko watu wanakaa more than ten years hawana makaratasi ...mimi mshikaji wangu ana four years tayari ana makaratasi ndio ninapopendea watoto wakihuni fast wanaweka mambo sawa
Una wivu. My opinion na siibadilishi so sit your behind down i said what i said and that's it
Mleta mada.ulikuwa na lengo gani,kuupeta huu uzi.maana!kwa majina anaitwa Stella Montez, au Chagabarbie au chagaempress anayeishi brooklyn new york. Nyuma kama miaka miwili aliwahi kumdate Prezoo msanii wa maarufu tajiri kenya.
siri ya urembo wake ni mazoezi.
Kimsingi hakuna kazi yenye uhakika. Kazi zote za kuajiriwa hazina uhakika.
Na kusema kuwa marekani usipokuwa na makaratasi hupati kazi si kweli.
Muache dada wa watu aishi anavyotaka, kwa raha zake, fake or not.
Acha wivu...My opinion, u don't like it, kick rocks!
Ila before u kick rocks, excuse you kuniita mwongo, marekani ukiwa na id iliyoisha muda unaajiriwa na nani kwa kazi yenye benefits? Coz dont talk about some stupid under the table jobs msizopata benefits zozote au kufuta mavi ya wazee majumbani kwako aka u Housegirl, a real job na id iliyoisha muda mnapewa na Trump?
Now ukinijibu sahihi na evidence wapi wanatoa kazi na Visa iliyiisha muda na Id zilizo expire, nitajiita mwongo hata mimi mwenyewe,
Kaweka maisha yake public, tusilazimishane kuona sawa.
Now Turn to the left kaendelee na kumkiss a$$ Stella.[emoji1308][emoji1308]
Why you exposed her?Hahaa, wivu????? Ananilisha? Ananivisha?
Nipishe kule na ujinga wenu.
Hahaa, wivu????? Ananilisha? Ananivisha?
Nipishe kule na ujinga wenu.
Pub talk.Haha, sector ya kukomesha nakuaaminia wamalize kabisa wakienda kulala wana hasira za kuua! Waonyeshe vyombo vyenyewe visivyooshwa na laplap za kibongo unavyodumbukiza kwenye dishwasher[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] halafu malipo yanazidi maCEO wa bongo[emoji23][emoji23]
Happy 4th.. fireworks wapi jirani?
Why you exposed her?
Hakulishi wala hakuvishi ila maisha yake yote unayafatilia na kuyatolea ushahidi. Hata ubongo una njaa zake.
Unanifurahisha unavyowachanaDada or kaka! Simfatilii fake thot! Huyu dada alikuwa na blog and yes, nilipenda blog yake UNTIL, nilipoona uongo live akakaa kushoto,
Tatizo watanzania kama wewe ndo wale wale wapu mba vu mlio radhi kushusha hadhi zenu kwa material things, huna tofauti na huyo stella i rather save my energy!
kupata karatasi sio ujanja,it could also be a matter of luck,truth be told sacrifice zinazofanya na akina dada kupata karatasi huwezi kuamini, yaani ukitaka kuoa dada mwenye makaratasi,inabidi ujiulize maswali mengi sana sio unakimbilia kuoa,alaafu baadaye unaipata past yake unamkimbia
Ww mdada ata hueleweki mara una mponda stella Kuwa huko USa anapiga picha Gym na Cadillac za kukodi Sasa tena unajiweka kwa Huyo mbeba box huku ukipondea wala vumbi yani ata ueleweki Nasema ivi hao diaspora hali zao ni tete uko ughaibuni ni Wana Fake each mimi nimepita uko miaka fulani ka birthday uchwara tu kakitokea ndo wanapiga vipicha na Kuwarusha roho huku,
Bado nasoma nyuzi za watu za WANAWAKE KUTOPENDANA
wach kelele nyapu uvundo hiyo!
Nilikuwa naongelea College park, Ga na Peachtree city Sio ya Maryland. Wabongo wa Maryland hujifanya wanaishi Washington Dc sijui kwanini ahawasemi MD tu.
Unanifurahisha unavyowachana