Mrembo wa kichaga anayewadatisha wasanii wa kimarekani

Mrembo wa kichaga anayewadatisha wasanii wa kimarekani

Nasikia huko watu wanakaa more than ten years hawana makaratasi ...mimi mshikaji wangu ana four years tayari ana makaratasi ndio ninapopendea watoto wakihuni fast wanaweka mambo sawa
kupata karatasi sio ujanja,it could also be a matter of luck,truth be told sacrifice zinazofanya na akina dada kupata karatasi huwezi kuamini, yaani ukitaka kuoa dada mwenye makaratasi,inabidi ujiulize maswali mengi sana sio unakimbilia kuoa,alaafu baadaye unaipata past yake unamkimbia
 
kwa majina anaitwa Stella Montez, au Chagabarbie au chagaempress anayeishi brooklyn new york. Nyuma kama miaka miwili aliwahi kumdate Prezoo msanii wa maarufu tajiri kenya.
siri ya urembo wake ni mazoezi.

Mleta mada.ulikuwa na lengo gani,kuupeta huu uzi.maana!
 
Kimsingi hakuna kazi yenye uhakika. Kazi zote za kuajiriwa hazina uhakika.
Na kusema kuwa marekani usipokuwa na makaratasi hupati kazi si kweli.

Muache dada wa watu aishi anavyotaka, kwa raha zake, fake or not.

My opinion, u don't like it, kick rocks!
Ila before u kick rocks, excuse you kuniita mwongo, marekani ukiwa na id iliyoisha muda unaajiriwa na nani kwa kazi yenye benefits? Coz dont talk about some stupid under the table jobs msizopata benefits zozote au kufuta mavi ya wazee majumbani kwako aka u Housegirl, a real job na id iliyoisha muda mnapewa na Trump?
Now ukinijibu sahihi na evidence wapi wanatoa kazi na Visa iliyiisha muda na Id zilizo expire, nitajiita mwongo hata mimi mwenyewe,
Kaweka maisha yake public, tusilazimishane kuona sawa.
Now Turn to the left kaendelee na kumkiss a$$ Stella.[emoji1308][emoji1308]
 
Acha wivu...
 
Haha, sector ya kukomesha nakuaaminia wamalize kabisa wakienda kulala wana hasira za kuua! Waonyeshe vyombo vyenyewe visivyooshwa na laplap za kibongo unavyodumbukiza kwenye dishwasher[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] halafu malipo yanazidi maCEO wa bongo[emoji23][emoji23]

Happy 4th.. fireworks wapi jirani?
Pub talk.
 
Hakulishi wala hakuvishi ila maisha yake yote unayafatilia na kuyatolea ushahidi. Hata ubongo una njaa zake.

Dada or kaka! Simfatilii fake thot! Huyu dada alikuwa na blog and yes, nilipenda blog yake UNTIL, nilipoona uongo live nikaiweka blog kushoto,
Tatizo watanzania kama wewe ndo wale wale wapu mba vu mlio radhi kushusha hadhi zenu kwa material things, huna tofauti na huyo stella i rather save my energy!
 
Dada or kaka! Simfatilii fake thot! Huyu dada alikuwa na blog and yes, nilipenda blog yake UNTIL, nilipoona uongo live akakaa kushoto,
Tatizo watanzania kama wewe ndo wale wale wapu mba vu mlio radhi kushusha hadhi zenu kwa material things, huna tofauti na huyo stella i rather save my energy!
Unanifurahisha unavyowachana
 
kupata karatasi sio ujanja,it could also be a matter of luck,truth be told sacrifice zinazofanya na akina dada kupata karatasi huwezi kuamini, yaani ukitaka kuoa dada mwenye makaratasi,inabidi ujiulize maswali mengi sana sio unakimbilia kuoa,alaafu baadaye unaipata past yake unamkimbia

Ila kuishi illegal is even worse ukizingatia kila siku wanavyobana inmigrants. U rather kimbia ukiwa legal tayari than illegal effects.
 
Ww mdada ata hueleweki mara una mponda stella Kuwa huko USa anapiga picha Gym na Cadillac za kukodi Sasa tena unajiweka kwa Huyo mbeba box huku ukipondea wala vumbi yani ata ueleweki Nasema ivi hao diaspora hali zao ni tete uko ughaibuni ni Wana Fake each mimi nimepita uko miaka fulani ka birthday uchwara tu kakitokea ndo wanapiga vipicha na Kuwarusha roho huku,

Kajifunze kuandika kiswahili kwanza ndo uje jibizana na mie.
 
Nilikuwa naongelea College park, Ga na Peachtree city Sio ya Maryland. Wabongo wa Maryland hujifanya wanaishi Washington Dc sijui kwanini ahawasemi MD tu.

Hiyo hiyo ya Ga, Peachtree city na college park ni zaidi ya 20miles, unless ulikuwa karibu sana kwa 9miles.
Wa Md si wanadai wako makao makuu [emoji23]
Sio ishu lol
 
Back
Top Bottom