Clueless14
JF-Expert Member
- Aug 27, 2014
- 3,108
- 4,751
Na wew unatamani ungekuaga maUSA Liver sema ndo ngekewa imelala pande si etiiii,..!?
Labda ana wasiwas na kontena..Pastor namba yake unataka kufanyia nini?
Nataka nimshauri kirohoPastor namba yake unataka kufanyia nini?
Huyu Anaosha Vyombo migahawani na Kutunza Wazee kama mwenzie nyani ngabu
Hahahaaa, you wish!Hamna kitu apo,uko uku kwetu kwa mtogole unaliwa nzi tu,... Clueless14
onesha yako sio kujibaraguza hapa mtandaoni..vema ye kafnya yake kipi kifanye um'diss sasa.Peleka masaburi yako huko! Unataka reality yangu utaiweza mlalahoi wewe usie na wivu?
haha kumbe we mkorofi!Peleka masaburi yako huko! Unataka reality yangu utaiweza mlalahoi wewe usie na wivu?
Mi anachonikera ni anajiedit sana mpaka keroYani huyu dada ni fekero mpaka! Sema ndugu zangu watz wanadatishwa tu na picha na editing za kufa mtu. Mtu ana rent gari for $9.99 weekend offers anajidai ya kwake bado watu wanampa credit??? Kama ana jeuri ya kununua latest Cadillac Escalade kwa nini hana jeuri ya kupata karatasi? Yani fekeroooooo,
NgabuYou wish!
We nae wa mkoani nini, mbona sijaona kitu hapokwa majina anaitwa Stella Montez, au Chagabarbie au chagaempress anayeishi brooklyn new york. Nyuma kama miaka miwili aliwahi kumdate Prezoo msanii wa maarufu tajiri kenya.
siri ya urembo wake ni mazoezi.
Labda kumuombeaPastor namba yake unataka kufanyia nini?
Nikuonyeshe kwa hadhi gani ulonayo? Ndo nishasema sasa hutaki kameze wembe ufe.onesha yako sio kujibaraguza hapa mtandaoni..vema ye kafnya yake kipi kifanye um'diss sasa.
Soo insecure! Kazi kujibinua asubuhi mpaka jioni halafu wajinga hapa wanadai tunamwonea wivu hahaa!Mi anachonikera ni anajiedit sana mpaka kero