Mrembo wa kichaga anayewadatisha wasanii wa kimarekani

Mrembo wa kichaga anayewadatisha wasanii wa kimarekani

Utapo anza kutembea "UCHI" nishtue mm ntakuwa Ubungo mataa nataka nishuhudie majaaliwa yako......na ntakupa ulinzi hadi Kibamba kwa MANGI.
Hahaa, yani akitoa proof tu ya kazi ya maana inayompa maisha anayodanganyia insta, nisubiri ubungo unisindikize had kibamba
 
am proudly a gentle..so we ni wakike tu Just wait for pumping guy..mi mwarab bwan kua makini nicje fnya hodi kwa mlango wako please!
jaribu nikuone huo uarabu koko wako!!! Jaribu nione kama una jeuri hata ya kusogea kilometa 2000 za nilipo! Shindwaaaa!
 
Hahaha...hawa watu wanacheza hawa. Huwa naamini hata wao wenyewe huwa hawayaamini wayasemayo.

Eti naosha vyombo na kuogesha vibabu na kutawaza vibibi!

Hata kama ingekuwa kweli, tatizo liko wapi? Si ni ajira halali tu hizo!

Haya....cheki zaidi mambo yangu hayo.

View attachment 534343

Na hiyo ati inasemaje....? Jina nimelikata kwa sababu zinazoeleweka.....

View attachment 534344
Jirani hii ligi ya wala vumbi haitokaa iishe, wana hasira sana ebu waonyeshe wakasirike zaidi!
 
Jirani hii ligi ya wala vumbi haitokaa iishe, wana hasira sana ebu waonyeshe wakasirike zaidi!

Hahahaaa....happy 4th jirani.

Nitaendelea kuwatandika fimbo za macho hadi watie akili.

Eti naosha vyombo...hata kama...so what?

Majinuni kabisa hao.
 
Hapo yupo LA gym kuna watoto wa kilatino balaa, Huyu mdada hajakalia kimazoezi yupo yupo tu. Brooklyn sijaona la maana zaidi ya Panya,Mende na Bed bugs tu.

Hana jeuri ya kuishi New York..
anaishi Minnesota.
 
Hahahaaa....happy 4th jirani.

Nitaendelea kuwatandika fimbo za macho hadi watie akili.

Eti naosha vyombo...hata kama...so what?

Majinuni kabisa hao.

Haha, sector ya kukomesha nakuaaminia wamalize kabisa wakienda kulala wana hasira za kuua! Waonyeshe vyombo vyenyewe visivyooshwa na laplap za kibongo unavyodumbukiza kwenye dishwasher[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] halafu malipo yanazidi maCEO wa bongo[emoji23][emoji23]

Happy 4th.. fireworks wapi jirani?
 
Happy 4th.. fireworks wapi jirani?

Hata sijajua wapi ila nafikiria kwenda Peachtree City. Got my peeps over there.

Ushawahi kufika pande hizo?

It's a golf cart community. Very lush. Just all around beautiful place.

Hakuna ratchetness huko[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
dah! kazi ipo? biashara matangazo. Halafu kuna mtu somewhere anasema anamtoto wakike
 
Eish! Fake fake fake fake!
She is sooooo fake! Super fake! Fakest of all!
Nyie mnadhani marekani is about kuamka kwenda gym na kula bata kama anavyofanya??? Muulizeni anafanya kazi gani akiwaambia kazi yake natembea uchi Posta hadi Kibamba.
Huyu anapiga picha hotelini anajidai kwake,?? Huyu anapiga picha kwenye gym za apartments anajidai ni gym ndani kwake??? Aisee bora kuwa maskini na akili kuliko wajinga wengine duniani
Hana tofauti na Rachel Temu, kupenda maisha ya juu at any cost.
Mkuu mbona picha zake anaonekana anafanya mazoezi kwenye gyms za kulipia na public playgrounds, ni wapi alisema ana own hizo gyms?

Hapa topic ilikua urembo wa huyu Dada na si chanzo cha kipato chake. Kama anauza ngada, anajiuza or whatsoever that's her biz ila ni mrembo.

Kama kafanya plastic surgery basi surgeon wake alimpatia maana hakeri kama mademu wengine na anajua kujitunza, ukiangalia mazoezi yake kuna mengine hadi masela hawawezi.

I happen to know her younger sister ni mrembo haswa. Nachelea kusema it runs in their family.

Happy 4th of July
 
Umeanza kumwangalia lini wee mwenzetu? Unajua alikuwa na blog aliyokuwa anapost uongo wake humo? Insta imeanza juzi juzi si tulishashiba uongo wake muda.
Ukisema haijalishi anachofanya mind u yule ana followers kibao na wengi wana admire, part ya mazoezi sijamponda, ila ushaona katika shauzi zake anakuonyesha yuko kazini zaidi ya gym na kuwa mahotelini na vacations 24/7/365? Unadhani hayo ndo maisha ya kila siku ya marekani ndugu?
 
Hata sijajua wapi ila nafikiria kwenda Peachtree City. Got my peeps over there.

Ushawahi kufika pande hizo?

It's a golf cart community. Very lush. Just all around beautiful place.

Hakuna ratchetness huko
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png

Aaah no huko sijafika, i believe as long as utakuwa mbali na College park, Union city, east point na Riverdale you'll be safe
 
Hahaha...hawa watu wanacheza hawa. Huwa naamini hata wao wenyewe huwa hawayaamini wayasemayo.

Eti naosha vyombo na kuogesha vibabu na kutawaza vibibi!

Hata kama ingekuwa kweli, tatizo liko wapi? Si ni ajira halali tu hizo!

Haya....cheki zaidi mambo yangu hayo.

View attachment 534343

Na hiyo ati inasemaje....? Jina nimelikata kwa sababu zinazoeleweka.....

View attachment 534344

Ha ha haaa

Waavhe wanacheka kazi inayomluoa mtu, yaani si bora wangemcheka mtu anayetumika kwa lolote bila malipo

Jamani nacheka tu, naina wengi hawajakuona na picha zako

Subiri waje waseme kwa bosi wako au jirani, wataishia kuzoom leo hadi vidole vimegeke eeeeeeh

Ila unajua wanavyokupenda ha ha haaaaaaa
Wengine watasema umekuwa mzungu nini kwa sababu hauna vinyago popote hapo kwa picha zako eeeeeh

Hivi wanakujibu au wamekimbia... si unajua watatumia thread zingine kukurushia mabomu eeeeeh
 
Umeanza kumwangalia lini wee mwenzetu? Unajua alikuwa na blog aliyokuwa anapost uongo wake humo? Insta imeanza juzi juzi si tulishashiba uongo wake muda.
Ukisema haijalishi anachofanya mind u yule ana followers kibao na wengi wana admire, part ya mazoezi sijamponda, ila ushaona katika shauzi zake anakuonyesha yuko kazini zaidi ya gym na kuwa mahotelini na vacations 24/7/365? Unadhani hayo ndo maisha ya kila siku ya marekani ndugu?

Najua maisha ya US vyema. Yeye kaamua kuonyesha upande mmoja wa maisha- upande wa Bata. Kaonyesha kile tu ambacho anataka watu wajue kuhusu yeye. Kama kuna mtu anadhani US ni bata siku nzima bila kazi atakua mjinga, hilo sio kosa la Stella.
 
Hahaha...hawa watu wanacheza hawa. Huwa naamini hata wao wenyewe huwa hawayaamini wayasemayo.

Eti naosha vyombo na kuogesha vibabu na kutawaza vibibi!

Hata kama ingekuwa kweli, tatizo liko wapi? Si ni ajira halali tu hizo!

Haya....cheki zaidi mambo yangu hayo.

View attachment 534343

Na hiyo ati inasemaje....? Jina nimelikata kwa sababu zinazoeleweka.....

View attachment 534344

Nyani Ngabu oyeeeeeeeeee

Na picha ya hapo mwisho unataka wafe na pressure

Ungeweka na mkalimali mana hiyo joint writing yenyewe kusoma kwao maruweruwe eeeeeh

Baba lao Ngabu

Kanyaga twende ila usiwalize sana eeeeh

( leo nimekuwa rafiki yako ka mdaku ha ha haa)
 
kwa majina anaitwa Stella Montez, au Chagabarbie au chagaempress anayeishi brooklyn new york. Nyuma kama miaka miwili aliwahi kumdate Prezoo msanii wa maarufu tajiri kenya.
siri ya urembo wake ni mazoezi.

Trump ameshaawambia wasio na kazi inayoeleweka waondoke msije mkashangaa akarudishwa na kujikuta anaishia kunywa mbege kule kwao
 
Back
Top Bottom