Mrembo wa kichaga anayewadatisha wasanii wa kimarekani

Eish! Fake fake fake fake!
She is sooooo fake! Super fake! Fakest of all!
Nyie mnadhani marekani is about kuamka kwenda gym na kula bata kama anavyofanya??? Muulizeni anafanya kazi gani akiwaambia kazi yake natembea uchi Posta hadi Kibamba.
Huyu anapiga picha hotelini anajidai kwake,?? Huyu anapiga picha kwenye gym za apartments anajidai ni gym ndani kwake??? Aisee bora kuwa maskini na akili kuliko wajinga wengine duniani
Hana tofauti na Rachel Temu, kupenda maisha ya juu at any cost.
 
Ukitazama vyema pua yake imepinda upande mmoja
Hana makaratasi huyo...hawezi kutoka America
Yani huyu dada ni fekero mpaka! Sema ndugu zangu watz wanadatishwa tu na picha na editing za kufa mtu. Mtu ana rent gari for $9.99 weekend offers anajidai ya kwake bado watu wanampa credit??? Kama ana jeuri ya kununua latest Cadillac Escalade kwa nini hana jeuri ya kupata karatasi? Yani fekeroooooo,
 
Mbona unatokwa POVU ivo mkuu Cadillac sio gari ya Kisport sport, Raisi Trump anatembelea Cadillac
 
Ni sio povu, ni reality, kuna watu wana admire maisha yake wkt hawajui behind the scene kukoje. Sio mtu wa ku admire!
Kwani hujawahi mwona mrembo huyo anaendesha hiyo Cadillac? Of coz watu kibao wanaendesha lkn si wa status ya mwenzangu na mie huyu toka Marangu. Kama vipi we kamuulize kazi yake uje uniambie hapa ina qualify life anayoishi? Thats kama ana kazi!
Ni mwongo mpaka kwenye kope!
 
Huyu Anaosha Vyombo migahawani na Kutunza Wazee kama mwenzie nyani ngabu
 
Eish! Fake fake fake fake!
She is sooooo fake! Super fake! Fakest of all!
Nyie mnadhani marekani is about kuamka kwenda gym na kula bata kama anavyofanya??? Muulizeni anafanya kazi gani akiwaambia kazi yake natembea uchi Posta hadi Kibamba.
Huyu anapiga picha hotelini anajidai kwake,?? Huyu anapiga picha kwenye gym za apartments anajidai ni gym ndani kwake??? Aisee bora kuwa maskini na akili kuliko wajinga wengine duniani
Hana tofauti na Rachel Temu, kupenda maisha ya juu at any cost.
mara helcopta izo ndinga sasa kumbee...?
 
kwa majina anaitwa Stella Montez, au Chagabarbie au chagaempress anayeishi brooklyn new york. Nyuma kama miaka miwili aliwahi kumdate Prezoo msanii wa maarufu tajiri kenya.
siri ya urembo wake ni mazoezi.

Picha i wapi nasi tumjue
 
Back
Top Bottom