Mrembo wa kichaga anayewadatisha wasanii wa kimarekani

Mrembo wa kichaga anayewadatisha wasanii wa kimarekani

Why does that bother u so much. I really don't get it. Kawahi kukuomba pesa? Anaishi illegally au otherwise is up to DHS kumfuatilia sio Mimi au wewe. Hapo hana pepa anauza sura akipata je si utatamani ardhi ipasuke ikumeze.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kimsingi hakuna kazi yenye uhakika. Kazi zote za kuajiriwa hazina uhakika.
Na kusema kuwa marekani usipokuwa na makaratasi hupati kazi si kweli.

Muache dada wa watu aishi anavyotaka, kwa raha zake, fake or not.
Naomba mtusamehe sisi akina dada,tunaoishi ughaibuni,stress frustuations zinasababisha unnecessary hatred kwa country folks wetu,hata kama hatuwajui.Hatukulazimishwa kupanda ndege kama tungetaka attention etc etc tungebaki nyumbani- One,s luck isikufanye uwe consumed na hatred cause waweza kufa before your days
 
Peachtree city down south? Ni zaidi ya hizo miles
Nilikuwa naongelea College park, Ga na Peachtree city Sio ya Maryland. Wabongo wa Maryland hujifanya wanaishi Washington Dc sijui kwanini ahawasemi MD tu.
 
Naomba mtusamehe sisi akina dada,tunaoishi ughaibuni,stress frustuations zinasababisha unnecessary hatred kwa country folks wetu,hata kama hatuwajui.Hatukulazimishwa kupanda ndege kama tungetaka attention etc etc tungebaki nyumbani- One,s luck isikufanye uwe consumed na hatred cause waweza kufa before your days
Mmesamehewa bila shaka
 
Eish! Fake fake fake fake!
She is sooooo fake! Super fake! Fakest of all!
Nyie mnadhani marekani is about kuamka kwenda gym na kula bata kama anavyofanya??? Muulizeni anafanya kazi gani akiwaambia kazi yake natembea uchi Posta hadi Kibamba.
Huyu anapiga picha hotelini anajidai kwake,?? Huyu anapiga picha kwenye gym za apartments anajidai ni gym ndani kwake??? Aisee bora kuwa maskini na akili kuliko wajinga wengine duniani
Hana tofauti na Rachel Temu, kupenda maisha ya juu at any cost.
wacha wivu,endelea kuish mbezi kwa msuguli
 
Bado nasoma nyuzi za watu za WANAWAKE KUTOPENDANA
 
Jirani hii ligi ya wala vumbi haitokaa iishe, wana hasira sana ebu waonyeshe wakasirike zaidi!
Ww mdada ata hueleweki mara una mponda stella Kuwa huko USa anapiga picha Gym na Cadillac za kukodi Sasa tena unajiweka kwa Huyo mbeba box huku ukipondea wala vumbi yani ata ueleweki Nasema ivi hao diaspora hali zao ni tete uko ughaibuni ni Wana Fake each mimi nimepita uko miaka fulani ka birthday uchwara tu kakitokea ndo wanapiga vipicha na Kuwarusha roho huku,
 
Hahahaaa....happy 4th jirani.

Nitaendelea kuwatandika fimbo za macho hadi watie akili.

Eti naosha vyombo...hata kama...so what?

Majinuni kabisa hao.
Inshu ya kuosha vyombo Veepe? Mbona inakutoa Povu ivo basi unaogesha Wazeee[emoji15] [emoji16] [emoji16]
 
Mtoa mada unatafuta Sifa za ajabu sana...
Usitake kutwambia huyu nae anauzur wakusumbua vichwa vya watu kwa jimbo kama ontario...na majimbo mengine ya ulaya..
Kwanza.
Ni kawaida kwa waafrika wakienda nchi za wazungu hutaka kuonyesha sifa nchi wanazotoka...ukikuta mtu anashughulika na utoaji wa barafu mitaani ....kwa wenyeji kama wazungu si watu wa show off..waafrica showoff tunazipenda sana.

Mtu anaenda chooni...lazima apige picha atupie facebook...

..

Ungemsifia yakuwa anasaidia sana watoto yatima hapo sawa...uzuri hata bata mzuri...
WATCH IT
 
Why niwe bothered na fake life yake??? Sir una opinion yako na nna opinion yangu juu ya show offs zake! Why dont u mind yours and i mind mines?

Meanwhile mjulishe shes too old for that. Kama kakaa miaka zaidi ya kumi hana akili ya karatasi hatokaa aipate kwa kubenua makalio kila siku.

Nasikia huko watu wanakaa more than ten years hawana makaratasi ...mimi mshikaji wangu ana four years tayari ana makaratasi ndio ninapopendea watoto wakihuni fast wanaweka mambo sawa
 
Back
Top Bottom