Mrembo wa Vidonge aitwa BASATA baada ya kupost video chafu mitandaoni

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Dada alie-trend mitandaoni kwa kijinadi kuwa ana vidonge vinavyoweza kumfanya Mwanaume akashindwa kuendelea na sex kitandani ameitwa na Basata.

Mrembo huyo anaejulikana kwa jina la Pipy ameitwa Basata kwasababu ya kupost video inayomuonyesha akicheza wimbo huku maungo yake kwa kiasi kikubwa yakionekana.

Pipy ameomba radhi kwa wananchi na ameahidi kutorudia kupost video zinazoonyesha maungo yake kwa kiasi kikubwa.

Your browser is not able to display this video.


Written by Mjanja M1

Soma hapa - Video: Wanaume tuwe makini na Wadangaji
 
hatuoni hiyo picha ya kucheza
 
Picha yenyewe iko wapi Picha yenyewe iko wapi? Hebu tupia hapa tuone huo uchafu km ni kweli uchafu
 
Hivyo vidonge vinakuaje mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…