Boogman
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 2,439
- 5,612
Ndio mlezi wao [emoji848]Basata na machangudoa wapi na wapi? Naomba kueleweshwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio mlezi wao [emoji848]Basata na machangudoa wapi na wapi? Naomba kueleweshwa.
Basata na maadili/ maudhui mitandaoni wapi na wapi?Dada alie-trend mitandaoni kwa kijinadi kuwa ana vidonge vinavyoweza kumfanya Mwanaume akashindwa kuendelea na sex kitandani ameitwa na Basata.
Mrembo huyo anaejulikana kwa jina la Pipy ameitwa Basata kwasababu ya kupost video inayomuonyesha akicheza wimbo huku maungo yake kwa kiasi kikubwa yakionekana.
Pipy ameomba radhi kwa wananchi na ameahidi kutorudia kupost video zinazoonyesha maungo yake kwa kiasi kikubwa.
View attachment 2888072
Written by Mjanja M1
Soma hapa - Video: Wanaume tuwe makini na Wadangaji
Ni sahihi. Kwa siku anatupia habari na kuanzisha thread hata zaidi ya 50 hivi.MjanjaM1 anatisha hana mpinzani humu sahvi
Ova
Dada alie-trend mitandaoni kwa kijinadi kuwa ana vidonge vinavyoweza kumfanya Mwanaume akashindwa kuendelea na sex kitandani ameitwa na Basata.
Mrembo huyo anaejulikana kwa jina la Pipy ameitwa Basata kwasababu ya kupost video inayomuonyesha akicheza wimbo huku maungo yake kwa kiasi kikubwa yakionekana.
Pipy ameomba radhi kwa wananchi na ameahidi kutorudia kupost video zinazoonyesha maungo yake kwa kiasi kikubwa.
View attachment 2888072
Written by Mjanja M1
Soma hapa - Video: Wanaume tuwe makini na Wadangaji
Wasanii wa kike wengi wanauza, kwahiyo BASATA wapo sahihiBasata na machangudoa wapi na wapi? Naomba kueleweshwa.
Hiyo video ya maungo kwa kiasi kikubwa ndo iko wapi nasi tutoe hukumu zetu za haki.Dada alie-trend mitandaoni kwa kijinadi kuwa ana vidonge vinavyoweza kumfanya Mwanaume akashindwa kuendelea na sex kitandani ameitwa na Basata.
Mrembo huyo anaejulikana kwa jina la Pipy ameitwa Basata kwasababu ya kupost video inayomuonyesha akicheza wimbo huku maungo yake kwa kiasi kikubwa yakionekana.
Pipy ameomba radhi kwa wananchi na ameahidi kutorudia kupost video zinazoonyesha maungo yake kwa kiasi kikubwa.
View attachment 2888072
Written by Mjanja M1
Soma hapa - Video: Wanaume tuwe makini na Wadangaji
Tanzania sahvi kila mtu msani mwamba [emoji1]Ni kasanii ka nini haka? Kanakataga tu viuno insta
Ngoja media zile uchwara zianze kumhoji na kumpa airtime [emoji1]Kwa jinsi anavyoongea kwa kubabaika unajua kabisa ubongo wake umejaa ujinga...
Kuna kundi kubwa sana la watu wajinga wajinga Tanzania...
Aiseeana vidonge vinavyoweza kumfanya Mwanaume akashindwa kuendelea na sex
Ndio nini?Unaelewa maana ya MREMBO?
Mrembo ni aliejiremba akapendeza,sio lazima awe mzuri.Ndio nini?
Basata Mamemuelewa.Dada alie-trend mitandaoni kwa kijinadi kuwa ana vidonge vinavyoweza kumfanya Mwanaume akashindwa kuendelea na sex kitandani ameitwa na Basata.
Mrembo huyo anaejulikana kwa jina la Pipy ameitwa Basata kwasababu ya kupost video inayomuonyesha akicheza wimbo huku maungo yake kwa kiasi kikubwa yakionekana.
Pipy ameomba radhi kwa wananchi na ameahidi kutorudia kupost video zinazoonyesha maungo yake kwa kiasi kikubwa.
View attachment 2888072
Written by Mjanja M1
Soma hapa - Video: Wanaume tuwe makini na Wadangaji
Basata wamebasatukaSasa huyo ni msanii au ni Malaya tuu basta kama machizi
Wee hutaki ustar uduguu, [emoji23][emoji23][emoji23]Naye tayari kashakuwa star.!! Bongo tunapenda vitu vya ufala