Mrembo wa Vidonge aitwa BASATA baada ya kupost video chafu mitandaoni

Basata na maadili/ maudhui mitandaoni wapi na wapi?
TCRA wao wafanyeje, mbona kuna mwingiliano wa majukumu?
aliyeona msanii aniambie!!
 
Kwa jinsi anavyoongea kwa kubabaika unajua kabisa ubongo wake umejaa ujinga...

Kuna kundi kubwa sana la watu wajinga wajinga Tanzania...
 
Hiyo video ya maungo kwa kiasi kikubwa ndo iko wapi nasi tutoe hukumu zetu za haki.
 
Kwa jinsi anavyoongea kwa kubabaika unajua kabisa ubongo wake umejaa ujinga...

Kuna kundi kubwa sana la watu wajinga wajinga Tanzania...
Ngoja media zile uchwara zianze kumhoji na kumpa airtime [emoji1]
Nchi ujinga ujinga unapewa kipaumbele

Ova
 
Basata Mamemuelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…