Hypersonic WMD
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 1,337
- 1,876
Hilo la kupata maendeleo watafanya wengine."Sisi" bado tunahangaishana na wanaoisema sirkale.Hapa ni uringanisho wa Kisiwa cha Mafia na Maldives.
Ukumbwa
Mafia -450 KM2
maldive -300 KM2
UCHUMI
MALDIVES -6 Billion za kimarekan
MAFIA -0 (no data/Hawajafanya tathmin)
SHUGHULI ZA UCHUMI
MAFIA-Utalii
Maldives -Utalii
Tanzania inashindwaje kukifanya kisiwa cha mafia kama maldive wakat mafia ni kisiwa kikubwa kuliko maldives.
Wee Huoni tumejenga reli SRG 15 trillion mkopo na bado kwenye hiyo 15 Trillion, 6 trillion CCM wamepiga. Halafu Chadema wanalaumiwa kwa ukabila na udini.Hapa ni uringanisho wa Kisiwa cha Mafia na Maldives.
Ukumbwa
Mafia -450 KM2
maldive -300 KM2
UCHUMI
MALDIVES -6 Billion za kimarekan
MAFIA -0 (no data/Hawajafanya tathmin)
SHUGHULI ZA UCHUMI
MAFIA-Utalii
Maldives -Utalii
Tanzania inashindwaje kukifanya kisiwa cha mafia kama maldive wakat mafia ni kisiwa kikubwa kuliko maldives.
alooo😀Hilo la kupata maendeleo wataganya wengine."Sisi" bado tunahangaishana na wanaoisema sirkale.
sasa hapo mbona kama uko nje ya mstariWee Huoni tumejenga reli ya 15 trillion mkopo na bado kwenye hiyo 6 trillion CCM wamepiga. Halafu Chadema wanalaumiwa kwa ukabila na udini.
Ni mulemule tu.Soma kwa tafakari ya kina.sasa hapo mbona kama uko nje ya mstari
Mkuu watu hawaendi Maldives sababu ya ukubwa wa kisiwa bali kwa ajili ya hivyo vivutio,Hapa ni uringanisho wa Kisiwa cha Mafia na Maldives.
Ukumbwa
Mafia -450 KM2
maldive -300 KM2
UCHUMI
MALDIVES -6 Billion za kimarekan
MAFIA -0 (no data/Hawajafanya tathmin)
SHUGHULI ZA UCHUMI
MAFIA-Utalii
Maldives -Utalii
Tanzania inashindwaje kukifanya kisiwa cha mafia kama maldive wakat mafia ni kisiwa kikubwa kuliko maldives.
uchumi wa mafia n kiasi gan mbona kama ujaelewa ulinganifu!!Mkuu watu hawaendi Maldives sababu ya ukubwa wa kisiwa bali kwa ajili ya hivyo vivutio,
Pia Mafia kuna kisiwa kinaitwa Thanda island moja ya Hoteli ghali zaidi duniani ipo hapo na muda wote ipo full.
Siko nje ya mstari mkuu. Inauma sana ukihesabu hela CCM wameiba imezidi trillion 200. Lakini Chadema inalaumiwa kwa kila kitusasa hapo mbona kama uko nje ya mstari
mi sipendi mambo ya siasaNi mulemule tu.Soma kwa tafakari ya kina.
we n chadema??Siko nje ya mstari mkuu. Inauma sana ukihesabu hela CCM wameiba imezidi trillion 200. Lakini Chadema inalaumiwa kwa kila kitu
CHURA KIZIWI ATAPAUZA, WAJIANDAE NA YAJAYO!Hapa ni uringanisho wa Kisiwa cha Mafia na Maldives.
Ukumbwa
Mafia -435 KM2
maldive -300 KM2
UCHUMI
MALDIVES -6 Billion za kimarekan
MAFIA -0 (no data/Hawajafanya tathmin)
SHUGHULI ZA UCHUMI
MAFIA-Utalii
Maldives -Utalii
Tanzania inashindwaje kukifanya kisiwa cha mafia kama maldive wakat mafia ni kisiwa kikubwa kuliko maldives.
Siasa hua ina tabia hiyohiyo ya kuwafuata watu kila eneo la maisha yao kila wakati.mi sipendi mambo ya siasa
BASI WE NI MAITI!mi sipendi mambo ya siasa
Acheni mambo yenu nyinyi hamchelewi kusema watu wahame mafia ili kulinda vivutio vya utalii
😂😂BASI WE NI MAITI!
Utalii na watu vinaenda sambambaAcheni mambo yenu nyinyi hamchelewi kusema watu wahame mafia ili kulinda vivutio vya utalii
AiseeViongozi wengi wa Kiafrika (kama siyo wote) hawajawahi kuwa na akili kubwa, na yenye maono ndani yake. Wao siku zote hupenda tu kutumia njia za mkato ili kupata pesa kutoka kwa watu weupe na pia mafanikio uchwara.