Hypersonic WMD
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 1,337
- 1,876
Hapa ni uringanisho wa Kisiwa cha Mafia na Maldives.
Ukumbwa
Mafia -435 KM2
maldive -300 KM2
UCHUMI
MALDIVES -6 Billion za kimarekan
MAFIA -0 (no data/Hawajafanya tathmin)
SHUGHULI ZA UCHUMI
MAFIA-Utalii
Maldives -Utalii
Tanzania inashindwaje kukifanya kisiwa cha mafia kama maldive wakat mafia ni kisiwa kikubwa kuliko maldives.