Hiki ndicho alichokiongea Mrisho Gambo kweli? Mzaramo aliyesoma kwa kubahatisha hapo Kibaha, kisha kupewa ukuu wa mkoa Arusha na kutetewa pamoja na kushambuliwa na aliyekuwa mbunge G Lema leo hii anadaia alikuwakuwa anapewa maagizo kutoka juu kutekeleza halafu anasema hadharani siri aliyoapa kutoitoa popote ila kwa utekelezaji wa majukumu yake, huku watu tayari walishaumia kwanini hakujiuzulu kuonesha kutoridhika na mwenendo wa kiuongozi uliopita kama sio unafiki na uzandiki, majungu , chuki na dharau zinazohitaji.
Huyu ni msaliti, mwenye tamaa na ndumila kuwili anayetaka uteuzi wa cheo cha uwaziri tu kwa kutweza na kumdhalilisha aliyekuwa kiongozi wake na mamlaka ya uteuzi.
Je alijaribu kuzuia utaratibu wa nguvu kazi (Task-force) wa TRA wa ukusanyaji mapato kisha akatishwa na mtu yeyote?
Amtaje hadharani kama ilivyoandikwa kwenye mtandao wa kijamii, redio au TV ili kila mmoja amfahamu moja ya watu waliokuwa wanafiki kwa JPM ni nani?