goodlif1600
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 805
- 877
Uyu jamaa nafikiri we humjui ni mnafiki Sana kwani yeye alikua anagombana na lema Mara ngapi ametumia nafasi yake Kama mkuu wa mkoa kuminya haki za wapinzani Leo anakuja kujisafisha kipumbavu namna hii Bora akae kimya tuInaweza kuwa jamaa naye anashida zake,lakini alichokisema ni sahihi kabisa.
Rejea kwa Makonda hata PM alikuwa hatii mguu..achilia mbali hawa mawaziri na wengine.
Hahahaha kweli aiseeee! Basi wacha kazi iendeleeKaka we ni mgeni Africa nn!!! Hayo mambo ya kizungu tunayaweza sisi?
Hahahaha maandiko yanasema "Bwana, atawapigania, nanyi mtanyamaza kimya"Tumtie moyo aendelee kumwaga sukari...kazi yetu kulamba tu
Hiki ndicho alichokiongea Mrisho Gambo kweli? Mzaramo aliyesoma kwa kubahatisha hapo Kibaha, kisha kupewa ukuu wa mkoa Arusha na kutetewa pamoja na kushambuliwa na aliyekuwa mbunge G Lema leo hii anadaia alikuwakuwa anapewa maagizo kutoka juu kutekeleza halafu anasema hadharani siri aliyoapa kutoitoa popote ila kwa utekelezaji wa majukumu yake, huku watu tayari walishaumia kwanini hakujiuzulu kuonesha kutoridhika na mwenendo wa kiuongozi uliopita kama sio unafiki na uzandiki, majungu , chuki na dharau zinazohitaji.Kama kuna mambo yanachukiza basi ni huu unafiki wa kiwango cha SGR. Moderator naomba msifute.
Hivi karibuni huyu kijana ameonekana "akijaribu" kwa kiwango kikubwa sana kujitenganisha na Utawala katili na dhalimu wa Magufuli, kitu ambacho hakijui ni kwamba hawezi kukwepa sehemu udhalimu huo.
Jana alisikika "akikandia" uporwaji wa Bureaus uliofanywa na serikali ya Magufuli huku yeye akiwa Mkuu wa Mkoa husika na akakaa kimya kwa wakati huo! Jana anadai kuwa kitendo hicho hakikua cha kibidamu.
Leo ameibuka tena baada ya watu wenye akili kuhoji kauli zake hizo, Leo anadai kuwa UTAWALA ule haukumpa nafasi yeye kama RC kutenda haki na majukumu yake yalitekelezwa na "Junior" wake kwa kisingizio cha "maelekezo kutoka juu".
Namkumbusha Gambo kuwa, hata huo Ubunge alionao Leo hapo anajua fika kuwa hakustahili kuwepo hapo, hivyo namshauri AJENGE HOJA aache kutukumbusha machungu ya ndugu zetu waliofilisiwa na Utawala dhalimu wa mwendazake
Ivi mnadhani kwenye utawala wa yule dhalimu Kuna mtu ambae angethubutu kwenda kinyume chake?? Au mmesahau yaliyomkuta Nape Nnauye na wengineo wengiKama kuna mambo yanachukiza basi ni huu unafiki wa kiwango cha SGR. Moderator naomba msifute.
Hivi karibuni huyu kijana ameonekana "akijaribu" kwa kiwango kikubwa sana kujitenganisha na Utawala katili na dhalimu wa Magufuli, kitu ambacho hakijui ni kwamba hawezi kukwepa sehemu udhalimu huo.
Jana alisikika "akikandia" uporwaji wa Bureaus uliofanywa na serikali ya Magufuli huku yeye akiwa Mkuu wa Mkoa husika na akakaa kimya kwa wakati huo! Jana anadai kuwa kitendo hicho hakikua cha kibidamu.
Leo ameibuka tena baada ya watu wenye akili kuhoji kauli zake hizo, Leo anadai kuwa UTAWALA ule haukumpa nafasi yeye kama RC kutenda haki na majukumu yake yalitekelezwa na "Junior" wake kwa kisingizio cha "maelekezo kutoka juu".
Namkumbusha Gambo kuwa, hata huo Ubunge alionao Leo hapo anajua fika kuwa hakustahili kuwepo hapo, hivyo namshauri AJENGE HOJA aache kutukumbusha machungu ya ndugu zetu waliofilisiwa na Utawala dhalimu wa mwendazake
Hahaha tunavuka Shamu sasaHahahaha maandiko yanasema "Bwana, atawapigania, nanyi mtanyamaza kimya"
Mfano mzuri ni huu...hapa bosi ni nani? Mtazame Majaliwa na hiyo body language, kapoa kama maji kwenye mtungi akipokea maagizo kutoka kwa bosi wake Bashite!Unasahau kuwa Makonda alikuwa na nguvu kupita Samia na Majaliwa?
Naona hamtaki watu wazungumze udhalimu ambao alikuwa anaufanye yule kiongozi wa Malaika, Bado yatafichuliwa mabaya yake mengi sana, iko siku atajulikana hadi aliyetumwa akamteke Ben saanane na kwenda kumuuaHiki ndicho alichokiongea Mrisho Gambo kweli? Mzaramo aliyesoma kwa kubahatisha hapo Kibaha, kisha kupewa ukuu wa mkoa Arusha na kutetewa pamoja na kushambuliwa na aliyekuwa mbunge G Lema leo hii anadaia alikuwakuwa anapewa maagizo kutoka juu kutekeleza halafu anasema hadharani siri aliyoapa kutoitoa popote ila kwa utekelezaji wa majukumu yake, huku watu tayari walishaumia kwanini hakujiuzulu kuonesha kutoridhika na mwenendo wa kiuongozi uliopita kama sio unafiki na uzandiki, majungu , chuki na dharau zinazohitaji.
Huyu ni msaliti, mwenye tamaa na ndumila kuwili anayetaka uteuzi wa cheo cha uwaziri tu kwa kutweza na kumdhalilisha aliyekuwa kiongozi wake na mamlaka ya uteuzi.
Je alijaribu kuzuia utaratibu wa nguvu kazi (Task-force) wa TRA wa ukusanyaji mapato kisha akatishwa na mtu yeyote?
Amtaje hadharani kama ilivyoandikwa kwenye mtandao wa kijamii, redio au TV ili kila mmoja amfahamu moja ya watu waliokuwa wanafiki kwa JPM ni nani?
Pamoja na hyo haimnyimi kuongea ukweli, ni mjinga pekee anaweza asimueleweKama kuna mambo yanachukiza basi ni huu unafiki wa kiwango cha SGR. Moderator naomba msifute.
Hivi karibuni huyu kijana ameonekana "akijaribu" kwa kiwango kikubwa sana kujitenganisha na Utawala katili na dhalimu wa Magufuli, kitu ambacho hakijui ni kwamba hawezi kukwepa sehemu udhalimu huo.
Jana alisikika "akikandia" uporwaji wa Bureaus uliofanywa na serikali ya Magufuli huku yeye akiwa Mkuu wa Mkoa husika na akakaa kimya kwa wakati huo! Jana anadai kuwa kitendo hicho hakikua cha kibidamu.
Leo ameibuka tena baada ya watu wenye akili kuhoji kauli zake hizo, Leo anadai kuwa UTAWALA ule haukumpa nafasi yeye kama RC kutenda haki na majukumu yake yalitekelezwa na "Junior" wake kwa kisingizio cha "maelekezo kutoka juu".
Namkumbusha Gambo kuwa, hata huo Ubunge alionao Leo hapo anajua fika kuwa hakustahili kuwepo hapo, hivyo namshauri AJENGE HOJA aache kutukumbusha machungu ya ndugu zetu waliofilisiwa na Utawala dhalimu wa mwendazake
Angesema lini wakati bungeni ndo kwanza kaingia juziSijakataa ila kwanini aseme Leo? Tutaaminije maneno yake? Je, kama aliweza kugeuka na kuyasema haya, tunajua kesho atasema nini? Kelele zake hazisaidii tena
Kama kuna mambo yanachukiza basi ni huu unafiki wa kiwango cha SGR. Moderator naomba msifute.
Hivi karibuni huyu kijana ameonekana "akijaribu" kwa kiwango kikubwa sana kujitenganisha na Utawala katili na dhalimu wa Magufuli, kitu ambacho hakijui ni kwamba hawezi kukwepa sehemu udhalimu huo.
Jana alisikika "akikandia" uporwaji wa Bureaus uliofanywa na serikali ya Magufuli huku yeye akiwa Mkuu wa Mkoa husika na akakaa kimya kwa wakati huo! Jana anadai kuwa kitendo hicho hakikua cha kibidamu.
Leo ameibuka tena baada ya watu wenye akili kuhoji kauli zake hizo, Leo anadai kuwa UTAWALA ule haukumpa nafasi yeye kama RC kutenda haki na majukumu yake yalitekelezwa na "Junior" wake kwa kisingizio cha "maelekezo kutoka juu".
Namkumbusha Gambo kuwa, hata huo Ubunge alionao Leo hapo anajua fika kuwa hakustahili kuwepo hapo, hivyo namshauri AJENGE HOJA aache kutukumbusha machungu ya ndugu zetu waliofilisiwa na Utawala dhalimu wa mwendazake
Huamini?Hayo maneno kwenye tweet ni ya Gambo kweli?
Anaogopa kwenda kusemewa kwa Bwana mkubwaMfano mzuri ni huu...hapa bosi ni nani? Mtazame Majaliwa na hiyo body language, kapoa kama maji kwenye mtungi akipokea maagizo kutoka kwa bosi wake Bashite!
Pamoja na hilo, Gambo hawezi kukwepa lawama...analalamika nini hivi sasa? Kwa nini hakujiuzulu? Tatizo ni unafiki na tamaa ya madaraka na hata huo Ubunge wake kabebwa tu!
Umesema vyema kabisaHiki ndicho alichokiongea Mrisho Gambo kweli? Mzaramo aliyesoma kwa kubahatisha hapo Kibaha, kisha kupewa ukuu wa mkoa Arusha na kutetewa pamoja na kushambuliwa na aliyekuwa mbunge G Lema leo hii anadaia alikuwakuwa anapewa maagizo kutoka juu kutekeleza halafu anasema hadharani siri aliyoapa kutoitoa popote ila kwa utekelezaji wa majukumu yake, huku watu tayari walishaumia kwanini hakujiuzulu kuonesha kutoridhika na mwenendo wa kiuongozi uliopita kama sio unafiki na uzandiki, majungu , chuki na dharau zinazohitaji.
Huyu ni msaliti, mwenye tamaa na ndumila kuwili anayetaka uteuzi wa cheo cha uwaziri tu kwa kutweza na kumdhalilisha aliyekuwa kiongozi wake na mamlaka ya uteuzi.
Je alijaribu kuzuia utaratibu wa nguvu kazi (Task-force) wa TRA wa ukusanyaji mapato kisha akatishwa na mtu yeyote?
Amtaje hadharani kama ilivyoandikwa kwenye mtandao wa kijamii, redio au TV ili kila mmoja amfahamu moja ya watu waliokuwa wanafiki kwa JPM ni nani?
Basi asijivue lawama!Mrisho gambo asishambuliwe kwani kipindi kile nani alifungua mdomo wake kwa maovu?
Saizi ni kusema ukweli na kuwekana sawa sio unafiki