Mhujumu Uchumi
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 1,541
- 3,521
Makubaliano Ni Yale Yale, atakayejaribu kufanya hujuma yoyote anakula ya Kichwa, iwe mchana au usiku, direct ama ambush!Sisi wana Arusha kura zetu kwa Lema na tutazilinda 24/7 dhidi ya majambazi wa kura.
Anaenda aibikaHongera Mrisho Gambo kwa kutumia haki yako kama raia.
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea ubunge Jimbo la Arusha Mjini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Ni sehemu ya maisha.Anaenda aibika
Gambo anachukiwa,sababu ya kiburi na dharau zake,Gambo kila anapopita hua anaacha matatizo,anzia Korogwe,Kigoma huko,Arusha DC,then Arusha RC,angepata washauri wazuri angeenda jimbo jingine kabisa,R Chuga hawampendiNi sehemu ya maisha.
Na wewe ni shoga??Wewe hata mashoga wanakabidhiwa tu mikoa na wilaya. Nyumba ndogo ya kisarawe na ile ya dar unawafahamu vile vile!
Unabisha?dhubutu
kama mimi ni Rc au dc lazima niwe nimempa mdondo magu!Na wewe ni shoga??