Uchaguzi 2020 Mrisho Gambo achukua fomu kuomba ridhaa kuwakilisha CCM uchaguzi mkuu jimbo la Arusha mjini

Uchaguzi 2020 Mrisho Gambo achukua fomu kuomba ridhaa kuwakilisha CCM uchaguzi mkuu jimbo la Arusha mjini

Huyu ndiye alisema sisi vijana wa CCM tufanye fujo pale Arusha kisa mbunge si mwanaccm?
 
Arusha sio jimbo la kuenda kichwa kichwa, watu wa Arusha waelewa sanaa, huwezi wadanganya hovyo hovyo, kushinda Arusha inabidi wananchi wakupende kweli kweli toka moyoni, ni jimbo gumu sana sanaa, ila kiujumla Gambo sio kiongozi, ni mtu wa kushindana na viongozi wenzake mara nyingi badala ya kuleta maendeleo.
 
Arusha (M) tumeamua kwenda na Gambo tu. Lema imarisha Chama Kanda ya kaskazini. Miaka 10 inatosha.
 
Back
Top Bottom