Mrisho Gambo aibukia suala la Maridhiano na Amani, adai Haki ndio Msingi wa yote

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini na Mkuu wa Mkoa wa zamani wa Arusha Mrisho Gambo amesema kuwa kila mtu anahitaji kuona taifa lenye misingi imara ya maridhiano, amani na upendo, hata hivyo ili hayo yote yafikiwe amesema inahitajika kuwa na msingi wa haki.

"Mtu yeyote anayehubiri amani, anatakiwa kuanza na haki,' amesema Gambo.

Your browser is not able to display this video.
 
HAKI ni uongo haipo na haitowahi wepo... ni wimbo kwa walioshindwa kutibu maumivu waliyonayo...
 
Kabla ya kuhubiri juu ya kutenda haki alipaswa kuomba msamaha kwa kusigina haki za wenzake alipokuwa na nafasi ya utendaji Serikalini.
 
wakininyimwa madaraka ndio akili zinawarudia
 
Nimependa alivyosema yale yote mnayoyaona yanajengwa jiji la Arusha ni yeye ndiye aliyeyapigania,ambapo yanaisha jun 30 ,2026 ,,,,kwahiyo mpaka sasa bashite hakuna alichofanya zaidi ya kuleta hekaheka na vibe tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…