TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
Itakuwa ni rasmi, baada ya trh 04.04.2024 jembe PCM anatinga chuga city, maskani ya machalii wa afrikani Geneva.
'Wasiempenda kaja' wenye roho mbaya naye huyo hapo anaingia mjini, iwe kashushwa cheo au kapanda ila ndiye yeye, mara mama kakosea, wengine huko wanasema ooh kamalizwa na msoga gang kwa sababu kamgusa papaa smg 😂!.
Hapa Arusha mbunge wake Mh. Mrisho Gambo anachekelea kiaina na kujipepea kwa gazeti, maana jembe limesogezwa hapo kati kutokana na gambo kutokuwa muongeaji basi anaona asubuhi hii hapa, ahahahaaa...
Nasoma sehemu tofauti kila mtu anaandika analotaka as hii ni kete ya kisiasa sababu Arusha inawaka sana moto upinzani, je kwa nini asingepelekwa Mbeya ambako ni eneo same like Arusha?.
Hapa naweza kusema kama ambavyo baadhi hatumjui Physics + Chemistry + Mathematics = PCM 😂, basi Gambo kasogezewa jembe ambalo akicheza nalo vizuri anavuna mpunga wa kutosha humo shambani, na endapo atapitishwa kupeperusha bendera ya chama jimbo la arusha mjini au jimbo likigawanywa kwa hofu tu!.
UPDATE; April 10.2024.
Nikipokea maelekezo kutoka kwa Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Hakika Mpini na Shoka vikiungana msitu utabaki salama!