Pre GE2025 Mrisho Gambo anachekelea sana vita ijayo, baada ya kuletewa Jembe!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
14,747
Reaction score
24,250
Itakuwa ni rasmi, baada ya trh 04.04.2024 jembe PCM anatinga chuga city, maskani ya machalii wa afrikani Geneva.

'Wasiempenda kaja' wenye roho mbaya naye huyo hapo anaingia mjini, iwe kashushwa cheo au kapanda ila ndiye yeye, mara mama kakosea, wengine huko wanasema ooh kamalizwa na msoga gang kwa sababu kamgusa papaa smg πŸ˜‚!.

Hapa Arusha mbunge wake Mh. Mrisho Gambo anachekelea kiaina na kujipepea kwa gazeti, maana jembe limesogezwa hapo kati kutokana na gambo kutokuwa muongeaji basi anaona asubuhi hii hapa, ahahahaaa...

Nasoma sehemu tofauti kila mtu anaandika analotaka as hii ni kete ya kisiasa sababu Arusha inawaka sana moto upinzani, je kwa nini asingepelekwa Mbeya ambako ni eneo same like Arusha?.

Hapa naweza kusema kama ambavyo baadhi hatumjui Physics + Chemistry + Mathematics = PCM πŸ˜‚, basi Gambo kasogezewa jembe ambalo akicheza nalo vizuri anavuna mpunga wa kutosha humo shambani, na endapo atapitishwa kupeperusha bendera ya chama jimbo la arusha mjini au jimbo likigawanywa kwa hofu tu!.

UPDATE; April 10.2024.
Nikipokea maelekezo kutoka kwa Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Hakika Mpini na Shoka vikiungana msitu utabaki salama!
 

Ngoja tuone ataingiaje kwanza hapo A town. Labda itakuwa ni kwa zile style zetu:



Nani ajuaye.
 
πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/reel/C5KlCDMouSe/?igsh=MXh2Ym8xeW9oZWM3Mg==
 
Arusha ilipoa Sana ,

Mama kaona mbali,, Makonda anairudisha rasmi Arusha kwenye ramani.

Itakuwa kila saa mbili usiku Taarifa ya habari ni Arusha Arusha.
 
Hiyo PCM mbona inakataa kusomeka?Siyo DAB(Division 0 & Absolutely Bogus)?
 
Arusha ilipoa Sana ,
Mama kaona mbali,, Makonda anairudisha rasmi Arusha kwenye ramani.

Itakuwa kila saa mbili usiku Taarifa ya habari ni Arusha Arusha.
Yaani hadi nawaona waandishi wanavyoshangilia kwa kupata heading story kutokea hapa πŸ˜ƒ!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…