mkulimamiwa
JF-Expert Member
- Mar 4, 2025
- 2,591
- 5,315
ChoiceVariable MamaSamia2025 TuiMradi gan thamani yake ht elfu kumi haufiki ,hii nchi uhuru umepitiliza sana,
Serious mbunge unapost hivi,?
View attachment 3333317
View attachment 3333318
View attachment 3333319
View attachment 3333320
Dharau zimezidi
Jambo hili liko wazi kabisa. Kwa sasa ccm inabebwa na polisi pamoja na tume. Nje ya hapo hakuna kitu.Kuna wana CCM niliongea nao jana, wanasema uchaguzi ukiwa huru na wa haki wanamchagua Tundu Lissu. Wamechoka na haya masikio ya CCM
Kutoka kwa mtaalamu wa majungu.Hili ni jungu
Mleta mada anasema elfu 10Kimegharimu kiasi gan?
Kuna simu watataka waanze kula wake zetu hadharan sasa ,,🤣🤣Mradi gan thamani yake ht elfu kumi haufiki ,hii nchi uhuru umepitiliza sana,
Serious mbunge unapost hivi,?
View attachment 3333317
View attachment 3333318
View attachment 3333319
View attachment 3333320
Dharau zimezidi
Na huko muda si mrefu hizo kuni zinaenda chemshia gongo, wakulungwa wanasubiria tu hicho kiringi kiondoke hapo wafanye yao.Hili kivuko kinaweza ibiwa hata usiku, hiyo ni aibu
Sasa hapo anamwaibisha nane? yeye ndiye mbunge ambaye alitakiwa asimamie maendeleo ya wananchi.huyu jamaa amefeli kabisa.bure kabisa.ahamie no reform no election.dharau kwa chama na mwenyekitiMradi gan thamani yake ht elfu kumi haufiki ,hii nchi uhuru umepitiliza sana,
Serious mbunge unapost hivi,?
View attachment 3333317
View attachment 3333318
View attachment 3333319
View attachment 3333320
Dharau zimezidi
Looks like death trap to meMbona kinaonekana kitavunjika muda wowote toka sasa
Gambo harudi bungeni.