Mrisho Gambo, anza ziara ya kuaga wana Arusha, hakuna namna 2025 utarudi katika Ubunge

Ana takiwa akafanye biashara aliyo izowea ya kuuza maandazi
 
Bila kuingilia mambo yao ya ndani huko mkoani kwake, napenda sana michango yake Bungeni hasa ya kukuza Biashara ya wageni
hivyo ningekuwa huko, bado nina nafasi ya kumpa Kura
 
Yani Gambo kawa adui tena!!? Laana hizi, kwahiyo mnakumbatia mijizi !?
 
Chama gani Cha kumtoa Gambo pale Arusha kwasasa?
Kama ni hii chadema sahau ,Gambo is there to stay
 
Msukuma wa Tabora anaenda kuwa mbunge Arusha mjini.Magu alituvuruga sana!!
 
Siasa haina kanuni

Gambo kwa kujilipua kufichua uovu na Rushwa kwa ushahidi mzito ule anakosaje kura? kataja majina ya wapokea rushwa na Accounts zao na muwekaji wa fedha sasa hapo akikosa kura maana yake tunataka Mbunge anaeshirikiana na Wezi?
Hatapata kura, aliyekuwa anaiba kura kafa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…