Sio tuu kuupiga bali kiuvumisha mwingi.CHAWA huyu anaupiga mwingi sana kwakweli, kwa niaba ya wa-TZ wezangu wote mliopo ndani na nnje ya JF, napendekeza awe anapewa kipato kikubwa sana kuliko CHAWA wengine wote [emoji87]
Bungeni ni sehemu ya kuchakata mawazo......
Hilo Bunge limekosa uhalali Maana Wabunge Karibia wote walipita Kwa Wizi, Hila na Ghiliba za MwendakuzimuMbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo leo Ijumaa Aprili 8, 2022 ametoa hoja akitaka bunge liahirishe shughuli zake ili wabunge wajadili kwa kina kuhusu upandaji wa bei za bidhaa nchini ikiwemo vyakula na vifaa vya ujenzi.
sana maharage kilo ni buku mahindi gunia 2700 la kilo mia,mafuta ya kula lita 2500 huku kusini tuna neema sana na vyote hivyo havina soko mpaka unagawa bureKweli mkuu maana hakuna asiyejua kwamba kuna mfumuko wa Bei sio tuu Tanzania bali Dunia yote na sababu zinafahamika..
Pili mfumuko wa bei kwa Tzn imeshuka kidogo kutoka 4.2 mwezi Desemba hadi 3.7 mwezi machi..
Mfano bando ya Bati za rangi imepungua kutoka 459,000 mwezi tajwa hadi wastani wa 432,000 kwa sasa..
Kwenye vyakula bei zitazidi kupungua kwa sababu tunaelekea msimu wa mavuno,walo mikoa ya Nyanda za Juu Kusini ni mashahidi kwamba Bei za vyakula zimeanza kupungua.
Ila hizi bei zinaumiza Sana Wakulima,wanahangaika afu vitu vikipanda kidogo watu waliovimbiwa kutoka mjini wanakuja kupiga makelele ya kipuuzi.sana maharage kilo ni buku mahindi gunia 2700 la kilo mia,mafuta ya kula lita 2500 huku kusini tuna neema sana na vyote hivyo havina soko mpaka unagawa bure