Tetesi: Mrisho Gambo kuhamia ACT Wazalendo?

Ule ujinga wa cdm kuokota wanaccm kama Lowassa hauwezi kurudiwa tena.
Zile sarakasi za mbowe na lisu zilikua drama tu ila wataalam wa kuchungulia wameshajua game ilivyo......kama simba walivyochugulia leo wakaona mambo magumu watu wakajikata ......hao wachunguliaji wanachungulia hadi huko kwenye vyama
 
Acha kucheza mindgame za kitoto.
 
Acha kucheza mindgame za kitoto.
We cheza za kikubwa ....kwani na nyie hamchezi zenu?
images-439.jpeg
 
Back
Top Bottom