Amechoka , basi ahame.Ahame tu hakuna namna
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amechoka , basi ahame.Ahame tu hakuna namna
Zile sarakasi za mbowe na lisu zilikua drama tu ila wataalam wa kuchungulia wameshajua game ilivyo......kama simba walivyochugulia leo wakaona mambo magumu watu wakajikata ......hao wachunguliaji wanachungulia hadi huko kwenye vyamaUle ujinga wa cdm kuokota wanaccm kama Lowassa hauwezi kurudiwa tena.
Acha kucheza mindgame za kitoto.Zile sarakasi za mbowe na lisu zilikua drama tu ila wataalam wa kuchungulia wameshajua game ilivyo......kama simba walivyochugulia leo wakaona mambo magumu watu wakajikata ......hao wachunguliaji wanachungulia hadi huko kwenye vyama
We cheza za kikubwa ....kwani na nyie hamchezi zenu?Acha kucheza mindgame za kitoto.