Pre GE2025 Mrisho Gambo: Lema aliniomba nimsaidie kuingia CCM

Pre GE2025 Mrisho Gambo: Lema aliniomba nimsaidie kuingia CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
I see! Siasa za nchi hii ni kizungumkuti.
 
Hahahaha yaani high profile figure ya upinzani kama Lema kwenda CCM aongee na Gambo?
Gambo aache kutupiga kamba.

Huyu Lema anayeweza kuongea hata na swaiba wake JK leo hii eti asaidiwe kujiunga CCM na Gambo?
Naamini Lema anaweza kuwa na profile kubwa CCM kuliko Gambo.
 
Lema ashindwe kuingia CCM eti aombe msaada? Haiingii akilini
 
Ni sawa tu wala sioni ajabu juu ya hayo

Hawa wanasiasa wengi wamejawa hofu ya nini watakula

Kwa maana hiyo wanakuwa tayari hata kuabudu mizimu ili wale

Lema kuomba aingizwe ccm ni sawa tu na simlaumu, Jambo lingine ambalo wengi wanaliona ni la kawaida ilihali linaumiza mioyo ya viongozi wa Chadema na wagombea wa majimbo ya Arusha, ni amsha amsha ya Paul Makonda

Jambo hili kulikataa kabisa kuwa si tishio kwa ukanda huo dhidi ya Chadema, ni kujitia moyo ili maisha yaendelee
 
Lema has been living on lies yet ur one of his supporter🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
 
My gut feeling: CCM cadres are congenitally liars: full stop.

Kwao kusema uongo si dhambi

If you believe on this then you will believe in everything
Gambo anadhani kwa kutengeneza hadithi kama hizo zitamsaidia mwakani!! Amekosa akili na maarifa. Lema akitaka kwenda CCM, huko CCM itakuwa sherehe kubwa. Wala hamhitaji Gambo amsaidie. Gambo ana nini cha maana huko CCM? Mbona mwakani uwezekano mkubwa anatupwa nje, na hakuna atakachoweza kufanya ndani ya CCM?
 
Back
Top Bottom