Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
SIDHANI KAMA INATOKA ROHONI!
MLISEMA HIVYO KWA LOWASA, LAKINI MAFURIKO YALIVUJA REKODIChadema wana bahati mbaya sana. Mandamano yameangukia msibani
MLISEMA HIVYO KWA LOWASA, LAKINI MAFURIKO YALIVUJA REKODI
tangu lini gambo akawa na hekimaAmeonyesha hekima na busara aliyonayo....
Sio kama yule mchungaji mropokaji
Hapana,inatoka makalio ni mwako.SIDHANI KAMA INATOKA ROHONI!
Tafuta kazi nyingine ubunge mwisho 2025.Ujumbe mzuri sana huu, huku ndiko kuiva kisiasa.
"Nawatakia heri CHADEMA kwenye maandamano kesho Arusha. Naamini kwenye siasa za ushindani wa hoja. Nitasikiliza hoja zao zenye mashiko tutazifanyia kazi. Nitachukulia maandamano na Mkutano wao wa hadhara kama sehemu ya mikutano yangu ya hadhara ya kupokea kero za wananchi."
NB: Tuchukuwe hoja zao, tuzifanyie kazi kwa umakini mkubwa,
° Maji
° Afya
° Umeme
° Ajira ni kilimo na kujiajiri
° Wale wote waliotajwa kwenye ripoti ya CAG ni muhimu wakaguswa, huenda hawa nyau wakatumia mlango huu, tuuzibe.
4R in works!Ndivyo walipaswa wawe kipindi chote siasa sio uadui
Mtiti WA nini tena?Jimbo lishaenda pureesha jamaa inapandaa kwa kasii ...Kesho MTITI