Pre GE2025 Mrisho Gambo: Nawatakia CHADEMA heri ya maandamano Arusha. Nitasikiliza hoja zao, zenye mashiko tutazifanyia kazi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kaonyesha political tolerance
 
watanzania waliowengi wamezidi kulipuka kwa furaa uzinduzi wa treni ya kisasa

chadema sijui kama mandamano yao yanatija kwa taifa
 
Kwa namna Siasa zetu na mfumo wetu ulivyo,hakuna mbunge anayeweza kusolve kero za wananchi
 
Haya yakishaitwa Maandamano ya Chadema tayari yanakuwa diluted (sio wote ni Chadema) LAKINI yangekuwa maanadamo ya Watanzania Kupinga Ugumu wa Maisha (Nadhani hata baadhi ya CCM ambao sio Walamba Asali wangeshiriki)

In short kama watanzania inabidi tujikite kwenye common grounds na kushinikiza tunaowalipa Kodi tupate our value for money; Mpaka sasa I can honestly say Samia is walking Scot Free
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…