Kama huyu hawezi kawaiyo ataweza nani?Rais wa nyumbani kwake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama huyu hawezi kawaiyo ataweza nani?Rais wa nyumbani kwake
wewe hapoKama huyu hawezi kawaiyo ataweza nani?
Kwa vile amewalipua sio!??Hata cheo Cha monitor wa darasa la 7 hawezi huyo
Ita press na wewe mlipue alafu tuone!Yeye mwenyewe mwizi ; hiyo nyumba amejenga fedha kapata wapi kama sio wizi alipokuwa RC?
Huo ubunge wa mchongo wa Jiwe ndio basi tena hatarudi tena bungeni.
Amekwisha lipuliwa tayari hana issue tena!!!Ita press na wewe mlipue alafu tuone!
Sasa mtu yupo huko Nyamisati mambo ya Arusha atajulia wapi mkuu.Aulize chuga wakoje na ChademaNina hakika 800% pale Arusha CHADEMA wakiweka jiwe lipigiwe kura dhidi ya Gambo, na kura zikahesabiwa kwa haki jiwe linashinda kwa kishindo kikuu.
Bwasheee 2025, au hamjakubaliana huko mtaa wa kijani!?Lini tena?
Nyamisati anavua uduvi!?Sasa mtu yupo huko Nyamisati mambo ya Arusha atajulia wapi mkuu.Aulize chuga wakoje na Chadema
Atarudi bungeni tuone... Kwani wewe ndio mtoa riziki? Ubunge ni utumishi kwa watu. Watu wakitaka arudi atarudi sio wewe.Yeye mwenyewe mwizi ; hiyo nyumba amejenga fedha kapata wapi kama sio wizi alipokuwa RC?
Huo ubunge wa mchongo wa Jiwe ndio basi tena hatarudi tena bungeni.
magufuli hayupo atarudije sasa,wewe kama anakulipa mshahara ni vyema anza kutafuta Kazi kwingine.Atarudi bungeni tuone... Kwani wewe ndio mtoa riziki? Ubunge ni utumishi kwa watu. Watu wakitaka arudi atarudi sio wewe.
Mijitu mibinafsi ndio ina chuki na mwendazake.
Mafisadi yana nguvu sanaKutoa taarifa ya wala rushwa mmnaomba ulizi, watz maswala madogo kama haya hayahitaji ulizi