Pre GE2025 Mrisho Gambo ni Rais ajaye

Pre GE2025 Mrisho Gambo ni Rais ajaye

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Yeye mwenyewe mwizi ; hiyo nyumba amejenga fedha kapata wapi kama sio wizi alipokuwa RC?
Huo ubunge wa mchongo wa Jiwe ndio basi tena hatarudi tena bungeni.
Ita press na wewe mlipue alafu tuone!
 
Nina hakika 800% pale Arusha CHADEMA wakiweka jiwe lipigiwe kura dhidi ya Gambo, na kura zikahesabiwa kwa haki jiwe linashinda kwa kishindo kikuu.
Sasa mtu yupo huko Nyamisati mambo ya Arusha atajulia wapi mkuu.Aulize chuga wakoje na Chadema
 
Nampenda mrisho gambo ila kwenye urais bado kwanzs hebu subiri
 
Yeye mwenyewe mwizi ; hiyo nyumba amejenga fedha kapata wapi kama sio wizi alipokuwa RC?
Huo ubunge wa mchongo wa Jiwe ndio basi tena hatarudi tena bungeni.
Atarudi bungeni tuone... Kwani wewe ndio mtoa riziki? Ubunge ni utumishi kwa watu. Watu wakitaka arudi atarudi sio wewe.
Mijitu mibinafsi ndio ina chuki na mwendazake.
 
Huyu mtu hawezi shinda tena ubunge sababu magufuli hayupo
 
Atarudi bungeni tuone... Kwani wewe ndio mtoa riziki? Ubunge ni utumishi kwa watu. Watu wakitaka arudi atarudi sio wewe.
Mijitu mibinafsi ndio ina chuki na mwendazake.
magufuli hayupo atarudije sasa,wewe kama anakulipa mshahara ni vyema anza kutafuta Kazi kwingine.
 
Back
Top Bottom