Pre GE2025 Mrisho Gambo: Nitaenda kuwajibu nini wananchi wa Arusha. Jiji kama Arusha linakosaje stendi?

Pre GE2025 Mrisho Gambo: Nitaenda kuwajibu nini wananchi wa Arusha. Jiji kama Arusha linakosaje stendi?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Vunjo kusini hawana mtandao wa simu, lakini mbunge wao, mheshimiwa sana, Bw. KimEYA, anavuta posho tu kule bungeni
 
Orodha ya watao kwenda kulima na kuchunga mbuzi kuanzia October 2025.
1. Arusha Mjini
2. Moshi Mjini
3. Moshi Vijijini
4. Babati Mjini
5. Same Mashariki
6. Arumeru
7. Tarime Vijijini
8. Hai
9. Simanjiro
10. Chato
11. Vunjo
12.
 
Gambo alidhani miaka mitano ni kama miaka 50

Shauri yake, Sisi Arusha tunahitaji watu smart, na watu smart kivyovyote vile, wapo Chadema tu

Hatutaki takataka za CCM
Smart wa Chadema ndio hao wakimbizi wa kina Lema au?
 
Apindue nchi akajenge Stendi Arusha - Kamchezo kao kanahitaji kupindua nchi
 
Hili nalo kama punga na mimacho yake.

Kasahau kuwa alishakuwa mkuu wa mkoa wa arusha.
 
Apindue nchi akajenge Stendi Arusha - Kamchezo kao kanahitaji kupindua nchi (Wakipindua nchi nitashukuru
 
Apindue nchi akajenge Stendi Arusha - Kamchezo kao kanahitaji kupindua nchi (Wakipindua nchi nitashukuru
 
Kila kitu mama-mama. Haya sasa. Kukosa Stend nani anahusika? Tundu Lissu?
Mkuu muhasibu sikuhzi mwendo ni huu tu
IMG-20241007-WA0000.jpg
 
ile stand full aibu,wizi hakuna mpangilio wanaofurahia zaidi ni wafanyabiashara.
 
Back
Top Bottom