Hao Ma-RC wote wachawi sasa hivi na wachawi husaidiana sana wanaposhambuliwa.RC Gambo amewaomba vijana wa CCM washirikiane na kupendana.
Gambo amesema UVCCM kumejaa vijana wanafiki ambao kazi yao kubwa ni kupiga majungu na kuendeleza fitina. Hata RC Makonda alipokuwa anashambuliwa na wapinzani hapa Dsm vijana hawakujitokeza kumtetea.
Gambo amesema vijana wanafiki wakizeeka wanakuwa wachawi.
Gambo yuko Dsm akihudhuria kikao cha UVCCM kwa mwaliko wa RC Makonda.
Maendeleo hayana vyama!