Hao Ma-RC wote wachawi sasa hivi na wachawi husaidiana sana wanaposhambuliwa.RC Gambo amewaomba vijana wa CCM washirikiane na kupendana.
Gambo amesema UVCCM kumejaa vijana wanafiki ambao kazi yao kubwa ni kupiga majungu na kuendeleza fitina. Hata RC Makonda alipokuwa anashambuliwa na wapinzani hapa Dsm vijana hawakujitokeza kumtetea.
Gambo amesema vijana wanafiki wakizeeka wanakuwa wachawi.
Gambo yuko Dsm akihudhuria kikao cha UVCCM kwa mwaliko wa RC Makonda.
Maendeleo hayana vyama!
Wawekwe kwenye dustbinKwa hiyo kina bia yetu.....[emoji58]
Weee siasa ya chuga naijua haswaaa. Niamini nakwambiaWewe Ujuwi chochote kuhusu siasa ya Arusha.
Nafahamu chocho zoteee, huo ndo ukweli nakwambiaChuga ipi mkuu ya mateves au olasiti?? Unafahamu mipaka ya chuga wewe??
Hahahaha! Sasa nimeelewa tatizo la wazee wengi waliopo CCM kwa sasa - walikuwa UVCCM na sasa wamekuwa wachawi!RC Gambo amewaomba vijana wa CCM washirikiane na kupendana.
Gambo amesema UVCCM kumejaa vijana wanafiki ambao kazi yao kubwa ni kupiga majungu na kuendeleza fitina. Hata RC Makonda alipokuwa anashambuliwa na wapinzani hapa Dsm vijana hawakujitokeza kumtetea. Gambo amesema vijana wanafiki wakizeeka wanakuwa wachawi.
Nyie ndo wanafiki anozungumzia Gambo mkizeeka mtakuwa wachawiYani Kama Gambo akichukua fomu anashinda ubunge saa tatu na nusu hasubuhi. Anakubalika hapa chuga na wamama wote, vijana, machaliii, yaani mi ndo niwaaambie Sasa, hao uvccm ni wachache wakiongozwa na Trump fake. Hajatangaza Nia ya kuutaka ubunge yeye Gambo, lakini akichukua fomu akapitishwa na chama atashinda kwa kishindo kikubwa sanaaaa
Hao wote ni wachawi wakiwa vijana,hawasubiri uzee.Humu jukwaani wanaoongoza kwa majungu na unafki ni bia yetu, jingalao, USSR, na Joni.
Ameshajibiwa bwashee!Huyu Gambo Mungu msamehe ila usiache mjibu kabla ya huwo uzee na isiwe kwa kificho watanzania wote waone ili sote tujifunze ktk hili.
Kumbe Makonda alikua anamchora tu jamaaaRC Gambo amewaomba vijana wa CCM washirikiane na kupendana.
Gambo amesema UVCCM kumejaa vijana wanafiki ambao kazi yao kubwa ni kupiga majungu na kuendeleza fitina. Hata RC Makonda alipokuwa anashambuliwa na wapinzani hapa Dsm vijana hawakujitokeza kumtetea.
Gambo amesema vijana wanafiki wakizeeka wanakuwa wachawi.
Gambo yuko Dsm akihudhuria kikao cha UVCCM kwa mwaliko wa RC Makonda.
Maendeleo hayana vyama!
HahahahaNa bado !
Aliliona anguko lakeRC Gambo amewaomba vijana wa CCM washirikiane na kupendana.
Gambo amesema UVCCM kumejaa vijana wanafiki ambao kazi yao kubwa ni kupiga majungu na kuendeleza fitina. Hata RC Makonda alipokuwa anashambuliwa na wapinzani hapa Dsm vijana hawakujitokeza kumtetea.
Gambo amesema vijana wanafiki wakizeeka wanakuwa wachawi.
Gambo yuko Dsm akihudhuria kikao cha UVCCM kwa mwaliko wa RC Makonda.
Maendeleo hayana vyama!
Yani umenifanya nimecheka kwa nguvu sanaa[emoji857][emoji857][emoji857][emoji2960][emoji2960][emoji2960]Nyie ndo wanafiki anozungumzia Gambo mkizeeka mtakuwa wachawi
Duuh!Yani Kama Gambo akichukua fomu anashinda ubunge saa tatu na nusu hasubuhi. Anakubalika hapa chuga na wamama wote, vijana, machaliii, yaani mi ndo niwaaambie Sasa, hao uvccm ni wachache wakiongozwa na Trump fake. Hajatangaza Nia ya kuutaka ubunge yeye Gambo, lakini akichukua fomu akapitishwa na chama atashinda kwa kishindo kikubwa sanaaaa
Wewe kila kitu huwa unadandia dandia ili nawe uonekane umo. Kuna uzi mwingine ulikuwa unamsifia Gambo kuwa ni Tunu. Hata Bashite mwenyewe na kumsifia kote na kusema anafaa kuwa Rais akitumbuliwa leo lazima utapandisha nyuzi za ramli zako kama kawa.Duh...!.
Kuna kitu niliwahi kushauri kumhusu Mrisho Gambo.
Rais Magufuli, somo la managing diversity kwa Serikali yako linahitajika
P
Nyuzi za ramli tena? Ramli ipi sasa? Chonganishi au patanishi?wewe kila kitu huwa unadandia dandia ili nawe uonekane umo. Kuna uzi mwingine ulikuwa unamsifia Gambo kuwa ni Tunu. Hata Bashite mwenyewe na kumsifia kote na kusema anafaa kuwa Rais akitumbuliwa leo lazima utapandisha nyuzi za ramli zako kama kawa.
Kazi kweli kweli!Nyuzi za ramli tena? Ramli ipi sasa? Chonganishi au patanishi?