Kivumishi Kielezi
JF-Expert Member
- Nov 1, 2019
- 1,028
- 2,451
Mwanamke mjinga sana wewe!Mwendazake huko aliko atakua anahisi joto
Kama ni rahisi nawe kavue chupi upate degree kima weweMwanamke mjinga sana wewe!
Si ajabu una kadigrii cha chupi halafu unalilia kuongezewa mshahara!?
Utaongezewaje mshahara wakati hujitambui?
Unafikiri nchi inaendeshwa kwa mchezo mchezo? Hiyo mishahara inatoka wapi kama nchi haina mapato ya uhakika?
Very stupid woman!
Una matusi zaidi kuliko pointKwa kweli aliyewaita nyumbu alikuwa ana maono mapana!
Jike jinga kweli wewe!Kama ni rahisi nawe kavue chupi upate degree kima wewe
Evelyn through your comment naona mimi na wewe ni watu tofauti sana.Kwa langu binafsi, sijapanda daraja wala kupandishwa mshahara.... Annual increment ya mwisho niliipata kwa Jk.
Deni la bodi ilianza 8%, kilichobakia nikakiplania mambo mengine ikiwepo kukopa mara vuuup deni hilo 15%
We kakukamilishia ndoto gani?
Learn to appreciate. Itakusaidia.Kwa langu binafsi, sijapanda daraja wala kupandishwa mshahara.... Annual increment ya mwisho niliipata kwa Jk.
Deni la bodi ilianza 8%, kilichobakia nikakiplania mambo mengine ikiwepo kukopa mara vuuup deni hilo 15%
We kakukamilishia ndoto gani?
FakeUnamfukuza professor aliyekaa darasani kisa tofauti ya herufi ya jina au alipoteza cheti cha form four kweli.
Nimekuambia kwa kuanza na mimi binafsi, okay kwa maslahi ya taifa ajira mwisho zilikua 2014 hawa vijana ambao wapo mtaani amewasaidia nini? Au ndio ile kauli pendwa wajiajiri?Evelyn through your comment naona mimi na wewe ni watu tofauti sana.
Wewe unaangalia yapi kafanya kukunufaisha wewe binafsi.That is egocentrism. Mimi naangalia yapi kafanya kwa maslahi mapana ya taifa na wananchi wote kwa ujumla wao.
Tofauti nyingine kubwa kati yangu na wewe ni kwamba mimi naangalia aliyofanya in a long term perspective,kwa maana ya aliyofanya yatakuwa na faida gani baadae,na haya ni mengi.
On the other hand wewe unajali mambo ya leo,au short term issues.
Ndiyo Wanapata AkiliYeye huyo.....!!
Katika hayo bwanako kafanya yapi? Hizo ndege zinazoleta hasara?Learn to appreciate. Itakusaidia.
Huyo mmeo akikujaza mimba huwa unaenda kujifungua chooni?
Mahospitali yaliyojengwa kila mahali unafikiri yameshushwa kutoka mbinguni?
Miundo-mbinu kila kona, mabarabara, umeme, maji, madaraja makubwa, meli, madege makubwa, usafiri, elimu bure, mikopo etc....
Hayo yote unafikiri yamekuja tu kwa miujiza!?
Huna akili wewe. Mwanamke mpumbavu!
Unalia lia tu hovyo kwenye mitandao kama kahaba mwenye fistula!
Annual increment my foot! Kwa akili hiyo ya kuvalia mawigi machafu?
Yote hayo boils down to not looking at things in the long term and right perspective.inabidi tuone kwamba yote aliyofanya baadae yata-create employment.Evelyn naomba tuwe na mawazo mapana zaidi,and let us stop being egocentric.Nimekuambia kwa kuanza na mimi binafsi, okay kwa maslahi ya taifa ajira mwisho zilikua 2014 hawa vijana ambao wapo mtaani amewasaidia nini? Au ndio ile kauli pendwa wajiajiri?
Nakwambiaa naweee kavue chupi πππππUnajua hata ndege zinaendeshwa vipi wewe kahaba pro-max?
Wewe akili zako za kuvua na kuvaa chupi tu!
Usijifanye mjuzi wa ndege hapa!
Alaah!
Ntakukata ngebe mpaka ukimbie ukalilie chooni!Nakwambiaa naweee kavue chupi [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
Mkuu unataka kuniambia hatakutopandisha madaraja, kutokuongeza mishahara kwa watumishi na kutokutoa ajira ilikuwa dream yako??Hebu Evelyn niambie mambo mabaya ambayo Magu alifanya.Mimi aliyofanya ndiyo yaliyokuwa dream yangu for Tanzania.
Watanzania wengi wanapenda sana Short cut! Magu alijaribu sana waishi straight lakini wakamuona kama anawabania! Watu hadi kwenye Elimu wao ni short cut tu! Hii ni hatari kubwa sana kwa Taifa!!Unaunga mkono vyeti feki?
Ukiwa mkali sana kwa watoto hutajua siku aliyotongozwa na anayotoa mimba ya houseboy wako maana kila jambo utafichwa na mkeo kwa hofu ya ukorofi wako.Nilikua simpendi Magu ila kwa hili nimeumia.
Hivi watangulizi wake hawakua wakifanya kwa maslahi ya taifa Ila yeye tu?Yote hayo comes down to not looking at things in the long perspective.Tuone kwamba yote aliyofanya baadae yata-create employment.Evelyn naomba tuwe na mawazo mapana zaidi,and let us stop being egocentric.