Mrisho Gambo: Vyeti Feki walipwe, Serikali ilikurupuka!

Mrisho Gambo: Vyeti Feki walipwe, Serikali ilikurupuka!

Wakati mnawatetea wenye vyeti feki,wakumbukeni pia waliokosa hizo kazi na kuishi maisha ya taabu kwa kipindi chote hicho kwa kudhulumiwa haki ya kupata hizo nafasi japokuwa walisota kuitafuta elimu.
Huu unafiki ndio unaorudisha nyuma maendelelo ya bara hili.
Wakati mnatetea kufukuzwa kazi,hamkumbuki kuwa kufoji vyeti ni kinyume cha sheria za nchi pia,walitakiwa wahukumiwe kwa mujibu wa sheria.

Inafika mahala watu hata hamjui mnahitaji nini,wakati unaandika hayo lazima uzingatie pia sheria inasemaje,vingonevyo utakuwa unatoa upendeleo kwa wavunja sheria na kulinyim kundi lingine haki.
Wangapi unaowafahamu waliajiriwa kujaza nafasi hizo za wenye vyeti feki?
 
Wakati mnawatetea wenye vyeti feki,wakumbukeni pia waliokosa hizo kazi na kuishi maisha ya taabu kwa kipindi chote hicho kwa kudhulumiwa haki ya kupata hizo nafasi japokuwa walisota kuitafuta elimu.
Huu unafiki ndio unaorudisha nyuma maendelelo ya bara hili.
Wakati mnatetea kufukuzwa kazi,hamkumbuki kuwa kufoji vyeti ni kinyume cha sheria za nchi pia,walitakiwa wahukumiwe kwa mujibu wa sheria.

Inafika mahala watu hata hamjui mnahitaji nini,wakati unaandika hayo lazima uzingatie pia sheria inasemaje,vingonevyo utakuwa unatoa upendeleo kwa wavunja sheria na kulinyim kundi lingine haki.
Nikuulize kosa ni la nani Kama sheria zilikuwa zinatumika?

Umepata jibu wakulaumiwa ni nani.
Tatizo la awamu ya mwendazake ilikuwa ni majivuno na kutaka masifa bila kujua madhara yake.

Kuongoza jamii inabidi ujitambue, sio watoto. Hata Kama ukiwa nyumbani una watoto wako ukaona kuna mtoto anatabia ambayo haikuriehishi lazima uangalie na wengine. Kama kuna baadhi lazima utafute mbinu ya kutatua Hilo tatizo sio kuwafukuza. Ukiwafukuza ndio wanapata nafasi ya kukudhalilisha.

Ukiona kiongozi ameshindwa kuongoza ujie hata nyumbani kwake kunamshinda.

Tatizo ni sheria zetu hazimgusi mwajiri. Wanajifanya ni wafalme. Ufalme ni geneza tu.

Kila mtu atakula kwa urefu wa kamba yake Kama sheria itatumika. Ila uzembe wa vyeti feli usirudiwe Tena. Jamii ni tofauti familia.
 
Vyeti fake vina wahusika wawili. Kuna aliyekileta (ambaye kishafukuzwa) na kuna aliyekipokea.

Je hao maofisa Utumishi waliopokea vyeti feki walichukuliwa hatua gani? Sheria haipaswi kuwa segragative katika kuonyesha jinai. Naamini ingekuwa ni Mahakamani ingeonekana Mashtaka yako Defective mpaka uwalete ma HR officers waliopokea vyeti feki
You are right
 
Kwa hili swala vyeti sio la kitoto. Hapa unachezea maisha ya Jamii.

Sheria Kama itafuatwa mbona watu wanafuata tu. Kama kuna vitu vinafanyika waziwazi mnaambiwa mnavyunja katiba mnasema tunakomoana.

Leo mnamkomoa nani Kama sio hiyo jamii na kutengenezeana makaburi. Leo ni kwa mwenzako kesho ni kwako.

Unangangania Sheri zipi ambazo ni zakubambikiana makesi. Hali ni mbaya sana.

Mama Samia safisha uozo wote umfuate mwendazake huko porini aliko.
Siko serikalini, sina mamlaka yoyote kwahiyo usinijumuishe
 
Akamatwe. Yaani ughushi cheti, serkali igundue ili ilikuwa inakulipa kwa taaluma usiyo nayo halafu ikikukamata IKULIPE?
Amejitoa akili aliyesema


Itafika sehemu kubaka akikuibia ukigundua unamlipa
Mkuu hao wafanyakazi waliajiliwa kwa mjibu wa Sheria na wakapewa barua.
Sheria inataka ukiachishwa kazi kwa sabsbu yoyote iwe kustaafu, kufukuzwa nk lazima upewe barua. Sasa Hawa wenzetu NI wangspi walipewa barua?
Hivi kesho akijihimu na kwenda kazini utamwambia nini? Utawala wa Hayati ilikuwa na double standard nyingi
 
Usihamishe mjadala.

Ndio maana mnaitwa nyumbu nyie.

Hamjitambui.
Mkuu utakuwa na matatizo sana, yaani wewe unaamisha mjadala lakini unaona mwenzako ndiye anahamisha? Wew na jiwe hakuna tofauti ndiyo maana hata akili zenu ni zilezile
 
Umezaliwa juzi ujui shida za shule waliopata zamani.Mkoa mzima una sekondari nne.watu walipenda kusoma shule Hakuna.Tofauti na sasa KILA kata Ina shule ushindwe wwe tu.
Wafanyakazi hewa ndio walitakiwa wafutwe na sio wenye shida za mikorogano wa majina ya vyeti.Wengine vyeti ni vyao shida ni majina
Huo utetezi wako hauna afya kabisa
 
Dah!Gambo,Gambo,
Gambo,are you serious?Mtu aliyefanya kosa la kugushi cheti,ambalo lina adhabu kisheria na aliyeiibia serikali apewe kiinua mgongo?Huyu kwanza alipaswa kufikishwa mahakamani kwa kosa la kugushi na kujipatia fedha kwa njia isiyo halali.Kama hiyo haitoshi Gambo ana suggest kwamba mtu kama huyo awe rewarded tena.For what,kugushi vyeti,kujipatia fedha kwa njia isiyo halali?Ridiculous.

Gambo kama kiongozi alipaswa kujua kwamba anafanya kosa la kutetea wizi na hivyo anamsaidia mtu kufanya kosa, kosa ambalo ni prosecutable by law.

I must be frank,wanaoitwa viongozi wetu weledi na moral standards zao ni very questionable.Kama Gambo anashauri mwizi awe rewarded kwa wizi,yeye mwenyewe utendaji wake si utakuwa very questionable.

Gambo anapaswa kujitathmini kama kweli anafaa kuwepo kwenye utumishi wa uma,in whatever capacity.Very sad.

Kunywa Heineken ntalipa boss
 
Ameyasema Bungeni kwamba Serikali ilikurupuka kuwafuta Kazi
========

MRISHO GAMBO: Wafanyakazi 14,409 ambao ni sawa na asilimia 2.82 walibainika kuwa na vyeti feki. Mheshimiwa naibu spika hoja yangu ambayo nataka niijenge hapa, pamoja na kuunga mkono zoezi la serikali kuwatambua watumishi wenye vyeti feki na kuchukua hatua stahiki lakini lazma hawa watumishi walifanya kazi ya kuitumikia nchi hii.

Hata masuala tunayojivunia leo wao pia ni sehemu ya kazi ambayo tumeifanya. Ni vizuri sasa wafanyakazi hawa tukaangalia utaratibu wa kuwapatia haki zao kwasababu wakati wanafanya kazi waliweza kukatwa fedha ambazo zikaenda NSSF, leo zile fedha zimekwenda kule, zinamnufaisha nani?

Wengine walipitisha muda kisheria, miaka 15, 20.. walistahili pia kulipwa kiinua mgongo, pamoja na serikali kuwaondoa kazini, nilikuwa naomba serikali hii ya awamu ya sita ikaangalie jambo hili kwa jicho la huruma, ikawaangalie wananchi hawa 14,409 ambao wana familia zinawategemea wakaweze kupata kiinua chao mgongo, wakapate na mafao yao na baada ya hapo tuendelee kuchukua watumishi wenye sifa maana sisi kama serikali tulichangia kuingia kwa watumishi hao maana waliingia kwa utaratibu"


Ana hoja ile namna ya kuitetea na kushawishi bado hajawa vizuri
 
Kuwa na vyeti feki ni kosa.
Kuwanyima hata mafao yao ni kukosa ubinadamu.
Binadamu huwa wanafanya makosa.
 
Back
Top Bottom