Mrisho Gambo: Vyeti Feki walipwe, Serikali ilikurupuka!

Mrisho Gambo: Vyeti Feki walipwe, Serikali ilikurupuka!

Hii nchi ya ajabu sana vyeti feki wanaungwa mkono! Wanauhalali na wameonewa kutolewa na walipwe mimi naona tuulize hata sheria nchi majirani zetu wenyewe huwa wanafanyaje juu ya hili
Umezaliwa juzi ujui shida za shule waliopata zamani.Mkoa mzima una sekondari nne.watu walipenda kusoma shule Hakuna.Tofauti na sasa KILA kata Ina shule ushindwe wwe tu.
Wafanyakazi hewa ndio walitakiwa wafutwe na sio wenye shida za mikorogano wa majina ya vyeti.Wengine vyeti ni vyao shida ni majina
 
CCM wanaanza kupata akili sasa, japo unafiki na uzandiki hawawezi kuacha.

Wabunge wa CCM sasa wameona jambo lililobakia ni kutafuta "KIKI YA KUKUBALIKA MAJIMBONI", wakiendelea na "BENDI YA MAREHEMU KUIMBA MAPAMBIO" inakula kwao uchaguzi ujao.

Ama kweli tutajionea mengi katika utawala wa Mama Samia.
Mimi nahisi ni jambo ambalo limepangwa kiufundi sana.Haiwezekanai mtu kama Nape,Gambo wabadilike ghafla.
Muda ni Mwalimu mzuri!
 
Zamani shule chache dot com ngumu kuelewa unadhani shule kata zilikuwepo.Mkoa mzima sekondari nne darasa la saba elf 30 mnagombea nafasi 300
Ndo ughushi cheti?
Sheria inasemaje juu ya kughushi vyeti?
 
Someni

Acheni kushabikia vyeti feki
Tatizo liko kwako wewe unaekurupuka kutetea upumbavu. Hili lisingeleta madhara Kama wangeweka mfumo ambao ungezibiti hali hiyo.

Wasinge wasumbua watu Kama kuna ajira serikali wanaoomba majina yao yakahakikiwe necta Kama form 4 ni professional sio kunyanyasa watu.

Kumbukeni madhara mliyosababishia Jamii ni makubwa kuliko muafaka wenu mliokuwa mnautafuta. Na ndiiyo maana tunawaita wakurupukaji.

Yaani mnatengeneza vifo, wananchi wako wafe? Ni ajabu kweli.

Kwa nchi nyingi waliposikia hili zoezi walishtuka sana. Muwaombe Hawa watu msamaha kwa kweli.
 
Sheria inasemaje kuajiri aliyegushi cheti.Nani mwenye makosa Kati ya muajiri na mwajiriwa?
Kughushi cheti ni udanganyifu kama udanganyifu mwingine, ndio maana mtu akijulikana alipenya kwenye kughushi cheti hadi akaajiriwa sheria yamtaka mtu huyo akamatwe na kutupwa kolokoloni
 
... imeniuma sana. Ni zaidi ya shetani; rest in hell forever. Binadamu unafikiaje kiwango hiki cha ushetani? Mungu awafute machozi wahusika.
Hakuna! HAta kama kuna nduguyo, ni fundisho kwamba ktk maisha fuata sheria na mpangilio. Yaani unaajiliwa kwa cheti feki, ukifukuzwa leo unakuja na wazo la kumwita mtu shetani! NOOOO! Ni upumbavu kutaka veti feki walipwe.
 
Kughushi cheti ni udanganyifu kama udanganyifu mwingine, ndio maana mtu akijulikana alipenya kwenye kughushi cheti hadi akaajiriwa sheria yamtaka mtu huyo akamatwe na kutupwa kolokoloni

1.Daud Albert Bashite - Cheti feki
2.Lameck Madelu -Cheti feki
3.Said Nassor Bagaile - Cheti Feki
4.Erick Ngambeki - Cheti Feki
5.Kalamaganda Kabugi - Cheti feki
6.Jiwe - Alikuwa na Phd feki.

Hao wote waliendelea na kazi japo walikuwa na vyeti feki.

Kama nia ilikuwa kuwaondoa wenye vyeti feki mngegusa TEETH ,JEIDABLIYU ,JIKITE,SENTERO,NGOME....Huko ndio wamejazana wenye vyeti feki KIBAO.
 
Hivi hata siku nikifa Mkewangu anaweza kutamka kauli za kinyume kabisa na mipango tuliyopanga nikiwa hai?
 
Mwananchi wa kawaida au kuepeleka taarifa mpaka uwe na hadhi fulani?
Sijasema hivyo,I am just wondering whether he did that at all,maana wabongo mkiwa vijiweni mnadanganyana sana.It could be mere hear say.
 
Back
Top Bottom