Sheria inasemaje kuajiri aliyegushi cheti.Nani mwenye makosa Kati ya muajiri na mwajiriwa?
Labda tuanzie na uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu wa 2020. Tuone nani atasalimika hapo. Hii nchi imejaa wasanii, matapeli, waongo n.k.
Wakurupukaji ni wengi sana hasa hasa wanaotaka kujaza matumbo yao na kutaka masifa.
Hawajui cheo ni kipaji na nibahati kutoka kwa mungu. Sitetei maovu ndiyo maana ya kuwa na sheria kwa wakati huo na kulingana na nyakati husika. Huwezi kuleta sheria ambayo ilitungwa mwaka 1960 kijana wa Leo hataielewa Kama haiksaidii. Na ndyo maana kuna utandawazi.
Hili suala la vyet baada ya kuona liligusa jamii kubwa wasingewasimamisha ila wangeweka mfumo ambao ungewaidia kuondoa Hilo janga na kuwaweka mikakati ya kuwazibiti waajiri ili hiyo hali isiwepo.
Tukianza kunyooshea vidole mbona wapo wengi waliingia makazini na vyeti hawana?
Na serikali ilikuwa wapi mpaka vyeti feki vikatumika kuwa halali leo ndiyo unaamka usingizini eti Hawa ni matapeli.
Muombe mungu Kama sio hao walimu mnaowatukana ni wezi wa vyeti feti usingesoma. Ungekuta unachunga mangombe huko porini Kama nyani.
Naomba tuwaombe msamaha na tuweke mfumo ambao utatendea watu haki.
Humu kuna vijana wameropoka sana kuwatuka lakini wakumbuke walitumia jasho lao na muda wao katika maisha yako. Ndiyo maana Leo unajitambua. Unajua
boxsa na chupi.
Nyerere hakuwa mpumbavu kuwaajiri watu wa upe na wakafanya nae kazi na kazi zikaenda. Na matunda mnayaona leo.
Hawakujiajiri wenyewe ila waliajiriwa na vigezo vilizingatiwa.
Leo unamwadhibu kwa sababu gani wakati umeshampotezea muda wake.