Mathanzua
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 17,251
- 22,929
Ameyasema Bungeni kwamba Serikali ilikurupuka kuwafuta Kazi
Dah!Gambo,Gambo,
Gambo,are you serious?Mtu aliyefanya kosa la kugushi cheti,ambalo lina adhabu kisheria na aliyeiibia serikali apewe kiinua mgongo?Huyu kwanza alipaswa kufikishwa mahakamani kwa kosa la kugushi na kujipatia fedha kwa njia isiyo halali.Kama hiyo haitoshi Gambo ana suggest kwamba mtu kama huyo awe rewarded tena.For what,kugushi vyeti,kujipatia fedha kwa njia isiyo halali?Ridiculous.
Gambo kama kiongozi alipaswa kujua kwamba anafanya kosa la kutetea wizi na hivyo anamsaidia mtu kufanya kosa, kosa ambalo ni prosecutable by law.
I must be frank,wanaoitwa viongozi wetu weledi na moral standards zao ni very questionable.Kama Gambo anashauri mwizi awe rewarded kwa wizi,yeye mwenyewe utendaji wake si utakuwa very questionable.
Gambo anapaswa kujitathmini kama kweli anafaa kuwepo kwenye utumishi wa uma,in whatever capacity.Very sad.