Mrisho Gambo: Vyeti Feki walipwe, Serikali ilikurupuka!

Mrisho Gambo: Vyeti Feki walipwe, Serikali ilikurupuka!

Ni kweli walikurupuka lakini mrisho mbona mlikaa kimya wakati wote huo?
 
Hayati akumbuke kuwa sio wote waliompigia makofi na kumsifu walikuwa upande wake
 
Acha upunguani angalikua mumeo, mama au babako usingaliandika huu ujinga
Unaunga mkono vyeti feki?

This country has a lot of fools aisee

Unataka huduma Bora kutoka Kwa substandard system

Basi tuachane kabisa na elimu, haina maana yoyote

Punguani kweli wewe
 
Hii yote ni kuhaha kuchafua legacy ya magufuli, bila kujua wanajichafua wenyewe! Kwanza they are lucky hawakufunguliwa mashitaka!
Kuna MTU alisema ukitaka kujua upuuzi na upunguani wa watanzania India if

Nimeamini, huwezi kutaka taifa imara halafu unabariki vitu feki

Cheti feki, elimu feki, pesa feki, maendeleo feki anything feki sio Sahihi
 
Ili zoezi hakika halikuwa na tija zaidi ni uonevu na kuwakomoa watu pale walipohoji vyeti feki vya bashite.maana mwendazake alipenda Sana bifu na ligi pale ni kiwandani.
Pia ilikuwa ni style ya kupunguza idadi ya watumishi Ili kupunguza gharama za kulipa mishahara.
Thus akajifichia kwenye uhakiki feki usioisha KILA siku watumishi kusumbuliwa mara leta vyeti uhakiki mara leta hiki mara TIN namba vitu vya ajabu, uhakiki gani usio fika mwisho mwaka wa sita sasa.Mtu anahakikiwa Hadi anastaafu nyongeza ya haki yake hakuna.
Yawezekana pia ilikuwa ni kuwakomoa watumishi kwa hisia za chuki eti walimpigia kura Lowasa 2015.
Tunamuomba Mungu asitokee tena kiongozi kama huyu milele Ili watz wafurahie mema ya nchi.
 
Ile ilikuwa ni manuevring technic ya kuchelewesha watu kuwaongezea mishahara, nyongeza na kupabdisha watu vyeo ili apeleke hela kwenye mamiradi yake.

Kama kweli alikuwa na nia ya kuhakiki vyeti feki mbona hakugusa wajeda?
 
Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni. Pamoja na kwamba Gambo naye ni "mbunge hewa wa Arusha" lakini naona anaanza kujipambanua kuwa tofauti na ccm wengi bungeni ktk uwasilishaji wa hoja zinazogusa wananchi.
Gambo ana akili na utu

Mtoto wa kiislamu huwezi kupitia madrasa ukasoma dini, halafu ukatoka humo ukawa na moyo wa kinyama moja kwa moja, lazima kuna utu na haya fulani hivi unakua nayo!
 
Ile ilikuwa ni manuevribg technic ya kuchelewesha watu kuwaongezea mishahara, nyongeza na kupabdisha watu vyeo ili apeleke hela kwenye mamiradi yake.

Kaka kweli alikuwa na nia ya kuhakiki vyeti feki mbona hakugusa wajeda?
Akugusa wanajeshi,wanasiasa,wakuu wa mikoa,wabunge, mawaziri,ma dc nk.
 
Back
Top Bottom