Twin Tower
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 4,903
- 7,213
Mnawasagua kunguni sana, wasameheniGambo kumbuka ulipokuwa na DC na baadae RC.
Je, matendo yako yalikuwaje? Uliwafanyia nini watanzania?
Karma imekuwahi sana, haijataka ichelewe. Na bado utaendelea kukiona cha moto.
Usijifungamanishe na wana Arusha.
Eti uhai ni zawadi kubwa kuliko kitu chochote? Does he believe in this?Gambo kumbuka ulipokuwa na DC na baadae RC.
Je, matendo yako yalikuwaje? Uliwafanyia nini watanzania?
Karma imekuwahi sana, haijataka ichelewe. Na bado utaendelea kukiona cha moto.
Usijifungamanishe na wana Arusha.
Hapa ndiyo umuhimu wa kuukataa na kuupuuza uchawa,na umuhimu wa uzalendo wa kweli unapoonekana na ile maana ya uzalendo wa kweli,haja ya kuihubiri haki kuwa ni msingi na ndiyo iletayo amani inapochomoza na kuwazindua usingizini waliotekwa na wimbo wa amani bila ya kujua hakindio msingi wa amani ya kweli.Gambo kumbuka ulipokuwa na DC na baadae RC.
Je, matendo yako yalikuwaje? Uliwafanyia nini watanzania?
Karma imekuwahi sana, haijataka ichelewe. Na bado utaendelea kukiona cha moto.
Usijifungamanishe na wana Arusha
View attachment 3521042
Mjinga sana huyu dogo anakumbuka shuka wakati kumeshapambazuka! Na tangu lini sadaka ya shukrani uifanyie tafakuri na kutangaza mitandaoni!? Huyu anaugua sononaGambo kumbuka ulipokuwa na DC na baadae RC.
Je, matendo yako yalikuwaje? Uliwafanyia nini watanzania?
Karma imekuwahi sana, haijataka ichelewe. Na bado utaendelea kukiona cha moto.
Usijifungamanishe na wana Arusha
View attachment 3521042
Faki the mazafaka!Gambo kumbuka ulipokuwa na DC na baadae RC.