Wakuu
=====
Msanii Mrisho Mpoto "Mjomba" Akikaguliwa kabla ya kwenda kuchukua Bahasha Kwa Rais, kinachofurahisha ni mwendo wa Mpoto na Namna alivyokaguliwa kabla ya kwenda kupokea bahasha😂.
"Ni mwendo wa Ngiri Mkia juu"
Mama hawaz kingine zaidi ya urais tuRushwa, Rushwa na Rushwa
T 107 TZABaadae tunasema hatuna matumizi hela zinaoza ndani😂😂😂
Uchumi wetu ni imara kuliko wa US
RUSHWA HADHARANIWakuu
=====
Msanii Mrisho Mpoto "Mjomba" Akikaguliwa kabla ya kwenda kuchukua Bahasha Kwa Rais, kinachofurahisha ni mwendo wa Mpoto na Namna alivyokaguliwa kabla ya kwenda kupokea bahasha😂.
"Ni mwendo wa Ngiri Mkia juu"
Tanzania Big Aibu sana Tena sana ingawa kwa wanufaika ni farqja kwako na familia zao kwa siku chache Daraja Busisi oyeeeeee vizazi kwa vizaziWakuu
=====
Msanii Mrisho Mpoto "Mjomba" Akikaguliwa kabla ya kwenda kuchukua Bahasha Kwa Rais, kinachofurahisha ni mwendo wa Mpoto na Namna alivyokaguliwa kabla ya kwenda kupokea bahasha😂.
"Ni mwendo wa Ngiri Mkia juu"
Hii ni zaidi ya mwendo wa Ngiri, yaani hadi suruali inataka kudondoka [emoji23]Wakuu
=====
Msanii Mrisho Mpoto "Mjomba" Akikaguliwa kabla ya kwenda kuchukua Bahasha Kwa Rais, kinachofurahisha ni mwendo wa Mpoto na Namna alivyokaguliwa kabla ya kwenda kupokea bahasha[emoji23].
"Ni mwendo wa Ngiri Mkia juu"