saigilomagema
JF-Expert Member
- Jun 5, 2015
- 5,673
- 7,811
Jasho lake halali nawe pambana uwe mbunifuWakuu
=====
Msanii Mrisho Mpoto "Mjomba" Akikaguliwa kabla ya kwenda kuchukua Bahasha Kwa Rais, kinachofurahisha ni mwendo wa Mpoto na Namna alivyokaguliwa kabla ya kwenda kupokea bahasha😂.
"Ni mwendo wa Ngiri Mkia juu"
Sasa hapo mpoto amefanya ubunifu Gani? Au kukimbia pekupeku ambako Kila mtu akiamua anaweza kufanya?Jasho lake halali nawe pambana uwe mbunifu
Tenaa heavy haswaaa mkuu ,mpk huyu jamaa aliishiwa pozi baada yakuona hyo bahasha ilivyotunaa😄Kwa wenye macho ya xray ule ni mkono heavy kabisa
Hizo rushwa anazogawa mama enu ni jasho letu pia, elewa hilo ndugu kiroboto, we hata uchawa wako una mushkeliJasho lake halali nawe pambana uwe mbunifu
Kilichonikesha ni namna Balozi wa maji alivyokaguliwa kama adui wa TaifaWakuu
=====
Msanii Mrisho Mpoto "Mjomba" Akikaguliwa kabla ya kwenda kuchukua Bahasha Kwa Rais, kinachofurahisha ni mwendo wa Mpoto na Namna alivyokaguliwa kabla ya kwenda kupokea bahasha😂.
"Ni mwendo wa Ngiri Mkia juu"
Huyu Mjomba ni msanii hata mbele ya bahasha, anaweza kucheza hadi pesa zicheke au ni kama msanii aliyepoteza mwelekeo kati ya usanii na siasa, au ndio kule kulamba asali kwa ustadi wa maneno?