Mrisho Mpoto alaumiwa kwa kumkejeli Padri Kitima Ikulu

ile kutaja neno 'muislam' hoja yako nikaitupia motoni iteketee. Una udini mbaya sana. Wale rais yeyote hata kama ni mkatoliki mwenzao wanamlima waraka tu, muachage chuki na kujihisi mnaonewa kwa kuwa ni waislam. Mkatoliki mwenzao magufuli ilikuwa ni suala la muda tu ufike wangemlima waraka kutokana na regime yake
 
Ilo wazo lako kusema ipo siku tutapigana wenyewe kwa wenyewe lishindwe na lilegee. Huna hekima na busara, umejaa udini. Unadhani nchi hii ni ya wakatoliki na waislam pekee? Peleka ujinga wako mbali. Wasio na dini nao hawatakubali upuuzi wenu
 
Yuko wapi Masanja mkandamizaji? Hawa Mbwa Huwa hawajifunzi
 
, Mungu hadhihakiwi , leo anatembea Peku ili awafurahishe wanaomlipa , Lakini kesho aweza kutembelea magoti bila kulipwa .
Pengine usichokijua wewe ni kuwa mwenzio (huyo msanii), usanii wake huo umekwisha mpaisha chati kwa watu wanaothamini usanii wa namna hiyo.

Kama bado huelewi ninachoeleza hapa, ngoja nikufafanulie vizuri: huyo mtu (msanii), hadi kupewa 'mike' aseme aliyoyasema, wanaomfuga walishajua umuhimu wa ujumbe wake kwa wakati sahihi ujumbe huo ulipotolewa.

Lakini tukiachana na hili la uwasilishaji ujumbe, bila shaka somo maalum tumelipata sisi sote, na hasa nyinyi kwenye vyama vya siasa tunaotegemea msaada wenu kutuongoza na kusimamia juhudi zetu za kuleta mageuzi.
Somo mahsusi kalitoa Samia, kwa wote ambao bado walikuwa na matumaini angalau kidogo juu yake kwamba hawezi kufanya mambo ya kufedhehesha nchi na yeye mwenyewe.

Hapa katuonyesha wazi kwamba uwezo wote wa kufanya uovu, utapeli, hakuna kinachomshinda huyu mama.

Kwa hiyo, wizi wa kura, na matakatakamengine yote yanayopelekea chaguzi zinazofuata kutokuwa na uhalali, haya ni mambo ya kawaida kabisa ya kuyategemea toka kwa huyu mtu.

Tulisha toa ushauri na njia za kuyakataa yote hayo. Mategemeo yetu ni kuwa hayo yaliyoshauriwa yangekuwa tayari yanafanyiwa kazi wakati huu kungali mapema. Lakini hatuoni kitu!
 
Sehemu ukivunjiwa heshima unatakiwa kusimama na kuondoka muda huohuo haijalishi alie mbele yako ni nani
Sio kweli Huo sio utu uzima Kitime sio mtu wa Kaliba hiyo ameshehena Elimu ya Sheria, Theology, Phylosoohy.Utulivu, ustamilivu wake umemjengea Heshma Mbele ya Umma wa watanzania Ameweza kufuta Kejeli zote dharau na Ameuonyeshea Umma KUWA Alichoitiwa sicho alichokikuta, waswahili wanasema Kubali wito kataa kutumwa. waliomualika na waliandaliwa kumkejeli hawana namna ya kujitetea au hata wakijitetea hawataeleweka
 
Sehemu ukivunjiwa heshima unatakiwa kusimama na kuondoka muda huohuo haijalishi alie mbele yako ni nani
Unajionyesha kiasi cha upumbavu tu ulio nao, hakuna zaidi ya hapo.
 
Wakati wa JPM mwishoni mwa uhai wake walimlima suala la COVID 19 na ni mkatoliki.
 
Mrisho Mpoto ni mpumbavu anayetumia tumbo kufikiri. Halina uzalendo kabisa kwa nchi. Linachoangalia ni maslahi ya lenyewe tu.
 
Tatizo halikuwa kwa Ikulu .ikulu hawalazimiki kutoa details zote za Mwaliko wa Rais.

Kitima anazo source za kutosha za habari za kujua anaalikwa Ikulu kwa shughuli gani? Alikuwa na muda wa kutosha kupata taarifa na kuamua.

Hata Fr Kitima hana kosa kuuzulia hafla hiyo. Maana ukipinga jambo na ukaalikwa kwenye jambo hilohilo sio dhambi. Maana yake wanathamini mchango wako.

Fr kuhudhulia ni sahihi kabisa Maana kwanza anatii Mamlaka na pia kuona ni kipi kimeendelea baada ya Kanisa kupinga IGA hadharani.

Tatizo kubwa la Fr Kitima na Kanisa katoliki ni kupinga IGA kabla hawajapata taarifa na ufafanuzi wa kutosha , kwa lugha nyepesi walilishwa matango pori. Maana IGA haikuwa na changamoto hizo walizozipinga.

Tatizo kubwa kwenye hafla ile ni kutumika kwa Wasanii Uchwara kama Mrisho Mpoto kuzodoa watu walionekana kuwa na mtazao tofauti na IGA, kwamba ni wanafiki na wamekuja kula Pilau.

Kuhusu Unafiki Mrisho yupo sahihi lakini haikutakiwa kusemwa hadharani ili kulinda heshima ya waalkwa.
Ushauri.

Ni vyema Serikali ikaacha kusaini mikataba kama vile sherehe za harusi kwa mapambio, Disco na Taarabu za kina mpoto.

Hakukua na sababu yeyote ya kusaini mkataba kwa sherehe hadharani.

kuna mfumo wa kusaini mikataba wa kiserikali , ni vyema ukaendelea kutumika.

Tupunguze taarabu kwenye mambo muhimu y serikal
 
Bali kitu ambacho Mrisho Mpoto anapaswa kukielewa ni hiki , Mungu hadhihakiwi , leo anatembea Peku ili awafurahishe wanaomlipa , Lakini kesho aweza kutembelea magoti bila kulipwa .[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HAKUKUWA NA MADHARA TEC KUKUBALI MWALIKO WA IKULU USIOKUWA NA AGENDA!

Mwaliko huu kuvuja mitandaoni ni sehemu ya ritorikia ya Kanisa kuhusu kilichojiri Dodoma. Kanisa pia linao wataalamu wa apologetics (apologia) na hivyo Rev. Fr. Kitima anajua hili. Lakini kwa wanaojua geopolitical position ya Kanisa Katoliki kwa Tanzania wataelewa kuwa hata agenda zingetangazwa kwa baragumu au ingangabwite, bado haikuwa katika utashi wa kimaadili kwa Katibu Mkuu wa TEC kutoshiriki. Kwa kuwa Waraka wa TEC bado unasimama, si hoja ya maana kujadili uwepo wa TEC Dodoma!

Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
Dar es Salaam, 27 Oktoba 2023; 12:50 jioni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujui kitu.
Bora ufiche ujinga wako. Ili ujue wale ni wabaguzi na kujiona ni daraja la kwanza,subiri itokee atawale raisi mkiristo lakini awe mlutheri(ngumu kutokea) utajiunga na sisi tunaowekwa daraja la pili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…