eliasmisinzo
JF-Expert Member
- Aug 13, 2021
- 1,259
- 1,321
Rudi kwenye uhalisia, serikali walikuwa na maana gani kuficha tukio la kusaini mkatabaPadiri Kitima naamini anaishi Dar, sasa lazima alipata mwaliko mapema, halafu kasafiri from Dar to Dodoma kwa ndege saa moja hivi na kwa gari ni kama Km 470 bado hajui anaitiwa nini? Labda yeye ndo alishauri mwaliko uwe hivo ili TEC iendelee kuheshimiwa na kutoonekana walibugi kiharakati?
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app