Kinyungu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2008
- 19,484
- 38,416
Kikwetu mpoto ni anusMpoto kwa lugha ya kwetu ni mavi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kikwetu mpoto ni anusMpoto kwa lugha ya kwetu ni mavi
Kama wewe ni kijana na unategemea vijana wengine wawe kama wewe, hilo taifa mtakalobaki nalo litakuwa ni taifa la kisanii tupu.Siku hizi wazee hamna busara kwasababu wajinga wengi mmezeeka
Punguza kujielezaKama wewe ni kijana na unategemea vijana wengine wawe kama wewe, hilo taifa mtakalobaki nalo litakuwa ni taifa la kisanii tupu.
Bahati nzuri, vijana wengi wa Tanzania hawako kama wewe.
Sisi hatujamlaumu. Acheni mchezo wa kutumia wingi kuwasilisha mawazo yako. na Tec hivyo hivyo wananchi. TEC wananchi gani iliwatuma?Msanii asiye na Kipaji , Mrisho Mpoto , amelaumiwa na watu wote kwa kutoa maneno ya kejeli dhidi ya Padri Kitima ambaye pia ni Katibu wa TEC.
Kukejeliwa kwa Padri Kitima kumetokana na kuonekana kwake kwenye hafla ya kusaini mkataba haramu wa Bandari kati ya Tanzania na DP WORLD ya Dubai .
Kauli chafu za Mpagani Mrisho Mpoto alizozitoa hadharani hapo hapo ikulu mbele ya Rais hizi hapa
View attachment 2794949
Ikumbukwe kwamba Kitima aliitwa Ikulu kwa njia ya kitapeli ili kumuingiza mkenge , Mwaliko wake huu hapa .
View attachment 2794950
Bali kitu ambacho Mrisho Mpoto anapaswa kukielewa ni hiki , Mungu hadhihakiwi , leo anatembea Peku ili awafurahishe wanaomlipa , Lakini kesho aweza kutembelea magoti bila kulipwa .
Unajipa mamlaka ya kunipangia nifanye nini, toka wapi?Punguza kujieleza
Hili swali akaulizwe YunusiHuyo Dr. Kitima ni mmoja... Je, wananchi walijua kuwa kuna moja na mbili Ikulu??
Je, baada ya zile kelele za Bandari/DPW wananchi walipewa mrejesho??
kwasababu anatokea rufiji?Inasemekana pia ni fundi wa mitishamba na mazindiko
Kiburi.... Mungu atawashusha.Msanii asiye na Kipaji , Mrisho Mpoto , amelaumiwa na watu wote kwa kutoa maneno ya kejeli dhidi ya Padri Kitima ambaye pia ni Katibu wa TEC.
Kukejeliwa kwa Padri Kitima kumetokana na kuonekana kwake kwenye hafla ya kusaini mkataba haramu wa Bandari kati ya Tanzania na DP WORLD ya Dubai .
Kauli chafu za Mpagani Mrisho Mpoto alizozitoa hadharani hapo hapo ikulu mbele ya Rais hizi hapa
View attachment 2794949
Ikumbukwe kwamba Kitima aliitwa Ikulu kwa njia ya kitapeli ili kumuingiza mkenge , Mwaliko wake huu hapa .
View attachment 2794950
Bali kitu ambacho Mrisho Mpoto anapaswa kukielewa ni hiki , Mungu hadhihakiwi , leo anatembea Peku ili awafurahishe wanaomlipa , Lakini kesho aweza kutembelea magoti bila kulipwa .
Ndivyo ilivyo Mkuu kwa Mtu mwenye Hekima na Madili. Lazima ujifunze uvumilivu.Hatakama unadhihakiwa ukae tu kisa protocal? Angenyoosha mkono, mc angemfuata na angeomba udhuru wa kutoka,
Hotuba ya mpoto ilipaswa ipitiwe kabla na watu wa protocal sio kujiropokea tu
Hiv Kwa nini watu nyie hua mnapenda kujukita kwenye udini? Udini udini tuu,! Swala ni hoja za TEC na sio udini. Kutokutaka hoja na kutoa hoja ni sawa inategemea kipindi hicho kama hiyo hoja inamashiko au vip.Mjinga wewe unayedhani kila siku tutakuwa daraja la kutangazia amani feki
Ungeanza kutafuta kwanza wewe ujue Mwinyi aliikuta nchi kwenye hali gani. Hadi kuja na "mkuki wenye ncha mbili"
Waulize wakubwa zako nini kiliwapata wakati wa mkatoliki Nyerere. Bidhaa zote muhimu hazikuwepo. Iliitwa miaka ya "hakuna"
Ukitaka sukari hadi uwe na kadi yenye Saini ya balozi na m/kiti wa kijiji. Na unauziwa Kwa mwezi mara moja.
Ukikutwa na dawa ya mswaki unaitwa mhujumu uchumi. Unawekwa kizuizini.
Pamoja na yote hayo,hao wanafiki unaowatetea hawakuwahi kuandika barua yeyote ya kichungaji.
Unajua kwanini?
1. Ni mkatoliki mwenzao.
2. Aliwafungulia mipaka kuagiza bidhaa zote muhimu kutokea Kenya tulipokuwa tumefunga mipaka yetu. Ruhusa hii ilikuwa maalumu kwa maaskofu tuu. Na waliitumia fursa hii vizuri Kwa kuwabatiza waislamu dhaifu waliokiwa na uhitaji kwa kisingizio cha misaada.
3. Alianzisha azimio la Arusha na utaifishaji wa Mali.
Hii aliifanya kwafaida ya kabisa lake. Wakati wao wakisoma na kuwabagua waislamu hadi wabatizwe,waislamu walijikita kwenye biashara. Na wakamiliki Mali nyingi. Hivyo alitaifisha mali zao ili kuwafanya raia daraja la pili.
4. Vijiji vya ujamaa. Aliwakusanyia mapadri na maaskofu watu wenye uhitaji mkubwa kwenye vijiji visivyo na miundombinu yeyote wala huduma muhimu,wakati huo wakatoliki Wana kila kitu kutokea Kenya Ili iwe rahisi kuwabatiza.
We mpiga magoti kwenye benchi huwezi jua haya.
Kukusaidia hebu soma kitabu alichoandika Padri John Sivalon "kanisa katoliki na siasa za Tanzania"
au "kwanini waislamu wanalalamika" vitakusaidia kufungua macho.
Hujui maana ya TEC ni nini ndiyo maana unauliza swali ambalo jibu lake lipo wazi kwa yeyote mwenye akili timamu kulijua.. na Tec hivyo hivyo wananchi. TEC wananchi gani iliwatuma?
Naunga mkono hoja. Nilitegemea baada ya maneno ya kifedhuli na yasiyo na sitaha ya Mrisho, Fr Kitima angesimama na kuondoka. Labda kama busara ilimuongoza kumpuuza mpuuzi.Sehemu ukivunjiwa heshima unatakiwa kusimama na kuondoka muda huohuo haijalishi alie mbele yako ni nani
Wizara mbili, tatu?Huwa tukisema CHADEMA haina dira,mwelekeo, na dhamira thabiti ya kuivusha Nchi hii, muwe mnaelewa.
Yaani ndio yale anayodai Bwana Mzee Laigwaan Tindu Lissu, kwamba, wapo wale kwa kujua au kutokujua wanaisaidia CCM kiaina. In short huwa hawafikiri. Mada hii inawasaidia(inatusaidia). Kwani inafunika mijadala ya
Bandari na Maandamano ya tarehe tisa.
Yani, Bandari Imegawiwa, na Njaa kali imetamalaki Uraiani, Sauti ya Watanzania imo kwenye mchakato wa kuhamasisha Umma kuhusu Maandamano, wao wanahoji, kwanini Makonda amechaguliwa?
Kwanini wasihoji ya Bandari kugawiwa, Kwanini wasihamasishe UMMA kujiandaa na Maandamano....wanahoji ya Mpoto?
Jibu ndio yale nilishagusia huko, hawana mwelekeo, hawana dira na hakuna Sera zinazoeleweka watakazo zileta wakishika Dola. Yaani wanasubiria huo, "Nusu mkate waje wagawiwe Wizara mbili tatu 2025 🙄
Kaa kimya bi Chau we!Kamkejeli vipi?
Kamkejeli vipi?Kaa kimya bi Chau we!
Unadhani watasusia hizo?Wizara mbili, tatu?
Inawezekana kabisaaPadiri Kitima naamini anaishi Dar, sasa lazima alipata mwaliko mapema, halafu kasafiri from Dar to Dodoma kwa ndege saa moja hivi na kwa gari ni kama Km 470 bado hajui anaitiwa nini? Labda yeye ndo alishauri mwaliko uwe hivo ili TEC iendelee kuheshimiwa na kutoonekana walibugi kiharakati?
Sio kweliYaaani System ya RC haikung'amua wito ulikuwa wanamna gani?
Sent from my SM-A107M using JamiiForums mobile app