Mrisho Mpoto alaumiwa kwa kumkejeli Padri Kitima Ikulu

Ndo keshararisha uuzwaji wa bandari
Kivipi?
Sidhani kama kuna taratibu hizo siku hizi, itoshe, hayo ndio tuliambiwa hapa Jamvini kuwa Zuhura, Msigwa na nani sijui(kapuni) ndio wataleta! Waliita 'weledi' Hatahivyo, protokali zao wamezoea kuzima zima mioto tu. (Reactionary) Kesho twaweza sikia teua tengua nyingine,
Zuhura amepwaya kwakeli hii ndio shida ya kuokoteleza watu, dr Abbas asingekubali haya mambo ya hovyo
 
Zuhura yunus hebu atoke ikulu maramoja vinginevyo tutaandamana, haiwezekani kualika ikulu wavutabangi na kuanza kutukana watu,

Hata ukaaji tu haukufuata protocal Fr Kitima alipaswa kukaa meza moja na wachungaji na mashekh nasio kukaa na akina zitto, yaano protocal zero
 
shuleni risala ya wanafunzi hupitiwa na uongozi wa shule na msomaji hakuruhusiwa kiongeza maneno yake, sasa iweje ikulu mtu aanze kuongea mipasho mbele ya kadamnasi na kushusha heshima za watu.

Zuhura yunus na mkuu wa protocal wa ikulu wanapaswa kuondolewa maramoja, hata ukaaji ukumbini haukufuta utaratibu.
 
Msanii asiye na Kipaji , Mrisho Mpoto , amelaumiwa na watu wote kwa kutoa maneno ya kejeli dhidi ya Padri Kitima ambaye pia ni Katibu wa TEC.

Kukejeliwa kwa Padri Kitima kumetokana na kuonekana kwake kwenye hafla ya kusaini mkataba haramu wa Bandari kati ya Tanzania na DP WORLD ya Dubai .

Kauli chafu za Mpagani Mrisho Mpoto alizozitoa hadharani hapo hapo ikulu mbele ya Rais hizi hapa

View attachment 2794949

Ikumbukwe kwamba Kitima aliitwa Ikulu kwa njia ya kitapeli ili kumuingiza mkenge , Mwaliko wake huu hapa .

View attachment 2794950
Bali kitu ambacho Mrisho Mpoto anapaswa kukielewa ni hiki , Mungu hadhihakiwi , leo anatembea Peku ili awafurahishe wanaomlipa , Lakini kesho aweza kutembelea magoti bila kulipwa .

Kwa kweli!
 
Kitima alostahili kudhihakiwa.
1. Anaendeleza mfumo wa wakatoliki kujiona wao ni raia daraja la kwanza.
2. Anaendeleza ushenzi wao wa kuzusha,kukejeli na kumpiga vita raisi yeyote aliyepo madarakani,ilimradi ni muislamu.
3. Kujiona wao wakatoliki wanaelimu na wajuaji kuliko wengine wote. Wakati ukweli wamesonga ila hawakuelimika.

Hayo yote yamepelekea kuwa na kiburi,dharau na majivuno
 
Wewe unawaogopa wakatoliki
 
Back
Top Bottom