Mrisho Mpoto alaumiwa kwa kumkejeli Padri Kitima Ikulu

Mrisho Mpoto alaumiwa kwa kumkejeli Padri Kitima Ikulu

Ila dr fr mpango kuhusu dpw kabla hata haujatoka alikuwa kapata ila taarifa kuhusu nini kinaenda kufanyika ikulu habari alikuwa hana 🥴🤔
 
Padiri Kitima naamini anaishi Dar, sasa lazima alipata mwaliko mapema, halafu kasafiri from Dar to Dodoma kwa ndege saa moja hivi na kwa gari ni kama Km 470 bado hajui anaitiwa nini? Labda yeye ndo alishauri mwaliko uwe hivo ili TEC iendelee kuheshimiwa na kutoonekana walibugi kiharakati?
Nadhani hata wewe unabunibuni kilichotokea.Yatajulikana.
 
Mungu ana njia njema zaidi.Angeondoka kwa ghafla ingetafsiriwa vinginevyo.Afadhali aliendelea kuwepo na tumeyajua hadi ya uandishi wa kadi ya mwaliko wa hafla.
cc: walimu wote kuanzia darasa la tatu wapewe sampuli ya kadi kwa ufundishaji mahiri zaidi.
Protocal ilizingatiwa. Haiwezekani Kiongozi kutoka nje wakati Mkuu wa nchi ameketi meza kuu.
 
Msanii asiye na Kipaji , Mrisho Mpoto , amelaumiwa na watu wote kwa kutoa maneno ya kejeli dhidi ya Padri Kitima ambaye pia ni Katibu wa TEC.

Kukejeliwa kwa Padri Kitima kumetokana na kuonekana kwake kwenye hafla ya kusaini mkataba haramu wa Bandari kati ya Tanzania na DP WORLD ya Dubai .

Kauli chafu za Mpagani Mrisho Mpoto alizozitoa hadharani hapo hapo ikulu mbele ya Rais hizi hapa

View attachment 2794949

Ikumbukwe kwamba Kitima aliitwa Ikulu kwa njia ya kitapeli ili kumuingiza mkenge , Mwaliko wake huu hapa .

View attachment 2794950
Bali kitu ambacho Mrisho Mpoto anapaswa kukielewa ni hiki , Mungu hadhihakiwi , leo anatembea Peku ili awafurahishe wanaomlipa , Lakini kesho aweza kutembelea magoti bila kulipwa .
Kamkejeli vipi?
 
Back
Top Bottom