Certified Hater
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 1,760
- 3,733
Aliisha niiinspire tayari.. pumzika mkuuhuyo jamaa uliemuweka kwa profile kavaa hereni kuwa nae makini asije kukuinspire
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliisha niiinspire tayari.. pumzika mkuuhuyo jamaa uliemuweka kwa profile kavaa hereni kuwa nae makini asije kukuinspire
Nimerudia kusoma tena sijaiona kejeli.Kama hujui kusoma hadi umri wa ngumbaro umekupita unataka tukusaidieje ?
Sasa katika mwaliko wa aina hii, Fr. Kitima anhejuaje kama anaenda kushuhudia zoezi la utiaji saini wa huo mkataba!! Je, alitakiwa kukataa mwaliko wa Rais wa nchi?Msanii asiye na Kipaji , Mrisho Mpoto , amelaumiwa na watu wote kwa kutoa maneno ya kejeli dhidi ya Padri Kitima ambaye pia ni Katibu wa TEC.
Kukejeliwa kwa Padri Kitima kumetokana na kuonekana kwake kwenye hafla ya kusaini mkataba haramu wa Bandari kati ya Tanzania na DP WORLD ya Dubai .
Kauli chafu za Mpagani Mrisho Mpoto alizozitoa hadharani hapo hapo ikulu mbele ya Rais hizi hapa
View attachment 2794949
Ikumbukwe kwamba Kitima aliitwa Ikulu kwa njia ya kitapeli ili kumuingiza mkenge , Mwaliko wake huu hapa .
View attachment 2794950
Bali kitu ambacho Mrisho Mpoto anapaswa kukielewa ni hiki , Mungu hadhihakiwi , leo anatembea Peku ili awafurahishe wanaomlipa , Lakini kesho aweza kutembelea magoti bila kulipwa .
Sio kwa ikulu mzee, ,..utakuwa unajitafutia shida zaidiSehemu ukivunjiwa heshima unatakiwa kusimama na kuondoka muda huohuo haijalishi alie mbele yako ni nani
Mpoto hana sifa tena ya kuwa msanii wa kusherehesha kwenye hafra za kitaifa,analibomoa taifa na kuonyesha amelewa madaraka, waandaji na waratibu wa hafra za kitaifa waachane naye kwa sasa.
Kwanini andiko langu unaliita ni la Chadema ?Huwa tukisema CHADEMA haina dira,mwelekeo, na dhamira thabiti ya kuivusha Nchi hii, muwe mnaelewa.
Yaani ndio yale anayodai Bwana Mzee Laigwaan Tindu Lissu, kwamba, wapo wale kwa kujua au kutokujua wanaisaidia CCM kiaina. In short huwa hawafikiri. Mada hii inawasaidia(inatusaidia). Kwani inafunika mijadala ya
Bandari na Maandamano ya tarehe tisa.
Yani, Bandari Imegawiwa, na Njaa kali imetamalaki Uraiani, Sauti ya Watanzania imo kwenye mchakato wa kuhamasisha Umma kuhusu Maandamano, wao wanahoji, kwanini Makonda amechaguliwa?
Kwanini wasihoji ya Bandari kugawiwa, Kwanini wasihamasishe UMMA kujiandaa na Maandamano....wanahoji ya Mpoto?
Jibu ndio yale nilishagusia huko, hawana mwelekeo, hawana dira na hakuna Sera zinazoeleweka watakazo zileta wakishika Dola. Yaani wanasubiria huo, "Nusu mkate waje wagawiwe Wizara mbili tatu 2025 🙄
Mpoki was very right. Kitima ni binadamu tu na ana madhaiifu yoteeee. Wakristu walikuwa na malengo yao.Msanii asiye na Kipaji , Mrisho Mpoto , amelaumiwa na watu wote kwa kutoa maneno ya kejeli dhidi ya Padri Kitima ambaye pia ni Katibu wa TEC.
Kukejeliwa kwa Padri Kitima kumetokana na kuonekana kwake kwenye hafla ya kusaini mkataba haramu wa Bandari kati ya Tanzania na DP WORLD ya Dubai .
Kauli chafu za Mpagani Mrisho Mpoto alizozitoa hadharani hapo hapo ikulu mbele ya Rais hizi hapa
View attachment 2794949
Ikumbukwe kwamba Kitima aliitwa Ikulu kwa njia ya kitapeli ili kumuingiza mkenge , Mwaliko wake huu hapa .
View attachment 2794950
Bali kitu ambacho Mrisho Mpoto anapaswa kukielewa ni hiki , Mungu hadhihakiwi , leo anatembea Peku ili awafurahishe wanaomlipa , Lakini kesho aweza kutembelea magoti bila kulipwa .
Nimechanganya mambo ??Kwanini andiko langu unaliita ni la Chadema ?
Nani aondoke aache bahasha ya kaki?Sehemu ukivunjiwa heshima unatakiwa kusimama na kuondoka muda huohuo haijalishi alie mbele yako ni nani
Hatakama unadhihakiwa ukae tu kisa protocal? Angenyoosha mkono, mc angemfuata na angeomba udhuru wa kutoka,Protocol ilizingatiwa. Haiwezekani Kiongozi kutoka nje wakati Mkuu wa nchi ameketi meza kuu.
Hahah kumbe watu wanalamba asaliNani aondoke aache bahasha ya kaki?
Unaijua njaa wewe
Keshahararisha uuzwaji wa bandariKitima alikwama wapi??? Kadi ya mwaliko isoelezea Tukio gan linaenda fanyika??.
Kumbe ndo maana walimuingiza Cha kike.
Anyway, Bado hakijaribika kitu
Fr Dr Kitima ana mpunga mrefu hawezi enda kudowea posho, na hana njaa unavyodhaniNani aondoke aache bahasha ya kaki?
Unaijua njaa wewe
Ndo keshararisha uuzwaji wa bandariFr Dr Kitima ana mpunga mrefu hawezi enda kudowea posho, na hana njaa unavyodhani
Yale yale ya Bw Msiba.Yeye alikuwa spika tu redio ilikuwa pembeni.
Sidhani kama kuna taratibu hizo siku hizi, itoshe, hayo ndio tuliambiwa hapa Jamvini kuwa Zuhura, Msigwa na nani sijui(kapuni) ndio wataleta! Waliita 'weledi' Hatahivyo, protokali zao wamezoea kuzima zima mioto tu. (Reactionary) Kesho twaweza sikia teua tengua nyingine,Hatakama unadhihakiwa ukae tu kisa protocal? Angenyoosha mkono, mc angemfuata na angeomba udhuru wa kutoka,
Hotuba ya mpoto ilipaswa ipitiwe kabla na watu wa protocal sio kujiropokea tu