lysheer
JF-Expert Member
- Mar 13, 2016
- 396
- 553
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipe beef na Jide lilichochewa na nani?.JMondi bila hao wazee wa fitina leo hii angekuwa angeshapotea Mondi tokea 2013 ana msululu wa mabeef kibao kuanzia baadhi ya media,hizi kampuni za ringtones na za kuuza nyimbo online,mpaka kampuni za simu alizipiga marufuku kuuza nyimbo zake sababu ya mikataba ya kinyonyaji bila hao jamaa unao waita ww madalali Mondi angepotea kabisa,sema hata yeye mwenyewe anajua kucheza na hizi social networking kufanya promotion kazi zake na ndio maana unamuona yupo pale..Inamaana hadi Leo bado hujajuwa kama BABU TALE SALIM SK MKUBWA FELLA wapo chini ya DIAMOND.....? hao Kwa Diamond ni Madalali tu......wala sio-manage.......
Hao jamaa wabaya sana ndio waliochochea beef........ Ya Diamond na Luge
Unajua chanzo cha Diamond kugombana na Luge?? Ngoja nikujuze
Diamond baada yakuwa Star alishindwa kuendelea kuwa katika utawala wa Luge Cuz Luge alimu-impower Diamond kwanguvu zote akiamini Diamond anakua chini yake ili-amtumie.....
Baada ya Diamond kugoma baadhi ya Maagizo ya Luge akaanza kufanyiwa Figisu Figisu ili amshushe kimziki....... Nyimbo za Diamond zikaanza kubaniwa clouds na baadhi ya Station nyingine ambazo wameungana......na Clouds
Nyuma ya Diamond kulikuwa na akina MSAFIRI JUMA aka Papa Misifa nk......wakamtibulia mipango Luge ndipo wakina BABU TALE MKUBWA FELLA SALIM SK wakakubali kuwa chini ya Diamond.
Vipe beef na Jide lilichochewa na nan?i.JMondi bila hao wazee wa fitina leo hii angekuwa angeshapotea Mondi tokea 2015 ana msululu wa mabeef kibao kuanzia baadhi ya media,hizi kampuni za ringtones na za kuuza nyimbo online,mpaka kampuni za simu alizipiga marufuku kuuza nyimbo zake sababu ya mikataba ya kinyonyaji bila hao jamaa unao waita ww madalali Mondi angepotea kabisa.
NakaziaSimlaumu Diamond hata kidogo na kwahilo niko pamoja nae!!Kwanini awe mnafiki?!kwanini aonyeshe upendo dakika za mwisho?!
.
Wote tunajua Bifu la Diamond na Clouds lilivyokua limefikia pabaya!!mpaka wanaombeana Mabalaa!!
.
Ruge alijitahidi kwa kila hali kuhakikisha huyu kijana anakufa kisanaa!!alipanga kummaliza kabisa Diamond na WCB yenyewe,akamjaza maneno Mavoko weee mpaka akatoka WCB!na asingeishia hapo,angekua hai angeendelea zaidi..
.
Hakuna anayemuombea mema adui yake,wote tutakufa ila adui yako akitangulia ni something beautiful!!
Diamond tuko pamoja,03 tunaondoka Dar kwenda Kwenye Show[emoji6]50 March tutakua zetu tunakiwasha Oman!!
R.I.P Ruge!!mwenyezimungu akuweke mahali alipokuandalia,sote tutakufa
Sent using Jamii Forums mobile app
wewe umewaita madalali ila wana mchango mkubwa sana la sivyo huyu Mondi msingemsikia leo hii.Nakubaliana na Points yako
Nimejaribu kumfanunulia Mdau alieuliza kuhusu uwepo Management ya wakina BABU YALE kwa Diamond
wewe ndiyo umeongea mkuu chukua 5Simlaumu Diamond hata kidogo na kwahilo niko pamoja nae!!Kwanini awe mnafiki?!kwanini aonyeshe upendo dakika za mwisho?!
.
Wote tunajua Bifu la Diamond na Clouds lilivyokua limefikia pabaya!!mpaka wanaombeana Mabalaa!!Sudi brown na shilawadu walikua wanamuongelea diamond wanavyotaka,kaanguka jukwaani Wanaposti wakimcheka,eti leo aende msibani?!
.
Ruge alijitahidi kwa kila hali kuhakikisha huyu kijana anakufa kisanaa!!alipanga kummaliza kabisa Diamond na WCB yenyewe,akamjaza maneno Mavoko weee mpaka akatoka WCB!na asingeishia hapo,angekua hai angeendelea zaidi..
.
Hakuna anayemuombea mema adui yake,wote tutakufa ila adui yako akitangulia ni something beautiful!!
Diamond tuko pamoja,03 tunaondoka Dar kwenda Kwenye Show[emoji6]05 March tutakua zetu tunakiwasha Oman!!
R.I.P Ruge!!mwenyezimungu akuweke mahali alipokuandalia,sote tutakufa
Sent using Jamii Forums mobile app
From Umanager to dalali huoni umashusha hadhi si dharau hizi na baadaye ukasema ni wachochezi au kwako ww unaona sawa.Kwa misukosuko aliyoipitia mondi kama wale jamaa wangekuwa madalali leo Mondi asingefika pale,inawezekana ukawa huwapendi ila waheshimu walichokifanya kwa Mondi tokea 2013 mpaka hivi sasa.Kwa Dalali ni Tusi???
Kuna muda unajiuliza hivi sisi Nani alituroga,, unazani unasikitika tuu,, hivi alivofanya mpoto ndo nini sasaa,??Kwani asipoenda huyo chibu,ruge hatozikwa?? Kwanza yeye ni nani kwenye huo msiba,anaongeza au kupunguza nini??
Aahh,.wabongo tunaboa sometimes...!!!
Huyu Mpoto nae anataka sifa tu,kwani anamtangazia nani,kama wanajuana si waongee nae kwa faragha,na lazima Domo awepo,aache upashukuna huyu Mpoto,mtu mzima unakuwa unafanya mambo ya kitoto,sio kila kitu utangaze hadharani huku ni kutaka kupata kiki sawa na dudu bayaPekupeku kama mpoto kwenye hili amefell Post yake imekaa vibaya....View attachment 1034579
kwani lazima hao wadogo zako wampost? Ruge ana impact gani kwenye maisha yao/yenu?...Tena ni vizuri asije kabisa ili uchawi wake ufanye kazi vizuri
Nimeona na vishabiki uchwara vyake vimegoma kupost msiba wa Ruge( nina wadogo zangu vichwa panzi vinamshabikiaga huyu sperm donor)
Sent using Jamii Forums mobile app
From Umanager to dalali huoni umashusha hadhi si dharau hizi na baadaye ukasema ni wachochezi au kwako ww unaona sawa.Kwa misukosuko aliyoipitia mondi kama wale jamaa wangekuwa madalali leo Mondi asingefika pale,inawezekana ukawa huwapendi ila waheshimu walichokifanya kwa Mondi tokea 2013 mpaka hivi sasa.
Silioni labda nikupe mji uyaongeze unayoyajua wewe,manake ishakuwa kama kitendawili nimefafanua hutaki kuelewa na majibu nimetoa.Plz nitafutie jina zuri LA kuwapa wale Fitinati.....