mbari
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 511
- 423
Acha story za magazeti ya udakuHakumsikia Mama yake juzi hapa alisema
Kama kwamba Diamond akienda kwenye misiba anakuwa star watu wanamlilia yeye na kuharibu misiba ya watu kwa kufanya watu walie na kuzimia.. na mengineyo aliyoyasema kumtetea..
Bora aendelee hivyo hivyo kutoenda kwenye misiba..
Mwisho wa siku atajiju..
Sent using Jamii Forums mobile app