Mrisho Mpoto amuomba Nasib Abdul kufika kwenye msiba wa Ruge Mutahaba

Mrisho Mpoto amuomba Nasib Abdul kufika kwenye msiba wa Ruge Mutahaba

Hakumsikia Mama yake juzi hapa alisema

Kama kwamba Diamond akienda kwenye misiba anakuwa star watu wanamlilia yeye na kuharibu misiba ya watu kwa kufanya watu walie na kuzimia.. na mengineyo aliyoyasema kumtetea..

Bora aendelee hivyo hivyo kutoenda kwenye misiba..

Mwisho wa siku atajiju..
Acha story za magazeti ya udaku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu utaratibu Wa kuombana kwenda msibani umeanza lini....Kwani mlezi wake kasemaje
 
Mpoto tangu ameanza kuwa karibu sana na huyo jamaa wa hapo Dar sijui amekuwaje?

Kwani Diamond ni nani mpaka aombwe kwenda msibani? Ni yule Pastor mfufuzi wa South au?
 
Waafrica tunamatatizo sana, sasa diamond akienda ndio inakuwaje?
Wakazj wote wadar tukienda pale patatosha?
Pia amejuaje? Kama hataenda, kwani wameshazika??
 
Waafrica tunamatatizo sana, sasa diamond akienda ndio inakuwaje?
Wakazj wote wadar tukienda pale patatosha?
Pia amejuaje? Kama hataenda, kwani wameshazika??
Kwani mashindano ya kutafuta kiki yameisha ?
 
Kwa akienda yy diamond [emoji184] chibu D uyo alie kufa ata fufuka?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mpoto tangu ameanza kuwa karibu sana na huyo jamaa wa hapo Dar sijui amekuwaje?

Kwani Diamond ni nani mpaka aombwe kwenda msibani? Ni yule Pastor mfufuzi wa South au?
we unahisi ni nani adi ifikie hatua ya kumuomba.
Na kama si Diamond si chochote kwann mnakesha kwenye page yake mki mhanikiza apost Msiba
 
Anawa manage kivip Daud. Ebu fafanua kidogo.
Inamaana hadi Leo bado hujajuwa kama BABU TALE SALIM SK MKUBWA FELLA wapo chini ya DIAMOND.....? hao Kwa Diamond ni Madalali tu......wala sio-manage.......

Hao jamaa wabaya sana ndio waliochochea beef........ Ya Diamond na Ruge

Unajua chanzo cha Diamond kugombana na Ruge?? Ngoja nikujuze

Diamond baada yakuwa Star alishindwa kuendelea kuwa katika utawala wa Luge Cuz Ruge alimu-impower Diamond kwanguvu zote akiamini Diamond anakua chini yake ili-amtumie.....

Baada ya Diamond kugoma baadhi ya Maagizo ya Ruge akaanza kufanyiwa Figisu Figisu ili amshushe kimziki....... Nyimbo za Diamond zikaanza kubaniwa clouds na baadhi ya Station nyingine ambazo wameungana......na Clouds

Nyuma ya Diamond kulikuwa na akina MSAFIRI JUMA aka Papa Misifa nk......wakamtibulia mipango Ruge ndipo wakina BABU TALE MKUBWA FELLA SALIM SK wakakubali kuwa chini ya Diamond.
 
we unahisi ni nani adi ifikie hatua ya kumuomba.
Na kama si Diamond si chochote kwann mnakesha kwenye page yake mki mhanikiza apost Msiba
Hebu subiri kijana mdogo, kina nani wanakesha kwenye unachokiita page yake? Au umekosea kuniquote?
 
Hata angetumia picha gani kwa kifupi amekosea kupost instagram huo ndio ukweli.Hiyo picha sio ya bango la wasafi festival,baili ilikuwa wakati wa promo wa uzinduzi wake wa album ya a boy from Tandale Kenya.

Kama angekuwa na nia ya dhati kabisa ya kumshawishi Mondi aje msibani njia zilikuwa mbili nikumpigia simu au kwa uzito nikumfuata kwake na si hizi drama za Instagram.
Umegoma kabisa kunielewa mkuu,jaribu kusoma tena nilichoandika,try to read between the lines,mi mbona point yako nailewa na wala sijaipinga?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inamaana hadi Leo bado hujajuwa kama BABU TALE SALIM SK MKUBWA FELLA wapo chini ya DIAMOND.....? hao Kwa Diamond ni Madalali tu......wala sio-manage.......

Hao jamaa wabaya sana ndio waliochochea beef........ Ya Diamond na Luge

Unajua chanzo cha Diamond kugombana na Luge?? Ngoja nikujuze

Diamond baada yakuwa Star alishindwa kuendelea kuwa katika utawala wa Luge Cuz Luge alimu-impower Diamond kwanguvu zote akiamini Diamond anakua chini yake ili-amtumie.....Nyuma ya Diamond kulikuwa na akina MSAFIRI JUMA aka Papa Misifa nk......wakamtibulia mipango Luge ndipo wakina BABU TALE MKUBWA FELLA SALIM SK wakakubali kuwa chini ya Diamond.
Unamaanisha The late boss Ruge alikuwa na plan za kum exploit diamond ?
 
Back
Top Bottom