Mrisho Mpoto amuomba Nasib Abdul kufika kwenye msiba wa Ruge Mutahaba

Vipe beef na Jide lilichochewa na nani?.JMondi bila hao wazee wa fitina leo hii angekuwa angeshapotea Mondi tokea 2013 ana msululu wa mabeef kibao kuanzia baadhi ya media,hizi kampuni za ringtones na za kuuza nyimbo online,mpaka kampuni za simu alizipiga marufuku kuuza nyimbo zake sababu ya mikataba ya kinyonyaji bila hao jamaa unao waita ww madalali Mondi angepotea kabisa,sema hata yeye mwenyewe anajua kucheza na hizi social networking kufanya promotion kazi zake na ndio maana unamuona yupo pale..
 
Simlaumu Diamond hata kidogo na kwahilo niko pamoja nae!!Kwanini awe mnafiki?!kwanini aonyeshe upendo dakika za mwisho?!
.
Wote tunajua Bifu la Diamond na Clouds lilivyokua limefikia pabaya!!mpaka wanaombeana Mabalaa!!Sudi brown na shilawadu walikua wanamuongelea diamond wanavyotaka,kaanguka jukwaani Wanaposti wakimcheka,eti leo aende msibani?!
.
Ruge alijitahidi kwa kila hali kuhakikisha huyu kijana anakufa kisanaa!!alipanga kummaliza kabisa Diamond na WCB yenyewe,akamjaza maneno Mavoko weee mpaka akatoka WCB!na asingeishia hapo,angekua hai angeendelea zaidi..
.
Hakuna anayemuombea mema adui yake,wote tutakufa ila adui yako akitangulia ni something beautiful!!

Diamond tuko pamoja,03 tunaondoka Dar kwenda Kwenye Show[emoji6]05 March tutakua zetu tunakiwasha Oman!!

R.I.P Ruge!!mwenyezimungu akuweke mahali alipokuandalia,sote tutakufa

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Nakubaliana na Points yako

Nimejaribu kumfanunulia Mdau alieuliza kuhusu uwepo Management ya wakina BABU TALE kwa Diamond
 
Nakazia
 
Nakubaliana na Points yako

Nimejaribu kumfanunulia Mdau alieuliza kuhusu uwepo Management ya wakina BABU YALE kwa Diamond
wewe umewaita madalali ila wana mchango mkubwa sana la sivyo huyu Mondi msingemsikia leo hii.
 
wewe umewaita madalali ila wana mchango mkubwa sana la sivyo huyu Mondi msingemsikia leo hii.
Kwa Dalali ni Tusi???

BABU TALE SALIM SK MKUBWA FELLA ni wapambe tu kwa Diamond na c manager hapo je??
 
wewe ndiyo umeongea mkuu chukua 5
 
Kwa Dalali ni Tusi???
From Umanager to dalali huoni umashusha hadhi si dharau hizi na baadaye ukasema ni wachochezi au kwako ww unaona sawa.Kwa misukosuko aliyoipitia mondi kama wale jamaa wangekuwa madalali leo Mondi asingefika pale,inawezekana ukawa huwapendi ila waheshimu walichokifanya kwa Mondi tokea 2013 mpaka hivi sasa.
 
Kwani asipoenda huyo chibu,ruge hatozikwa?? Kwanza yeye ni nani kwenye huo msiba,anaongeza au kupunguza nini??

Aahh,.wabongo tunaboa sometimes...!!!
Kuna muda unajiuliza hivi sisi Nani alituroga,, unazani unasikitika tuu,, hivi alivofanya mpoto ndo nini sasaa,??
 
Kwani lazima aende. Mwacheni mnamvimbisha bichwa lake. ila atakuwa busy mkimaliza kuzika wasafi wanatoa mziki Haaaaaaa dunia ndogo ukiwa na pesa aisee
 
Pekupeku kama mpoto kwenye hili amefell Post yake imekaa vibaya....View attachment 1034579
Huyu Mpoto nae anataka sifa tu,kwani anamtangazia nani,kama wanajuana si waongee nae kwa faragha,na lazima Domo awepo,aache upashukuna huyu Mpoto,mtu mzima unakuwa unafanya mambo ya kitoto,sio kila kitu utangaze hadharani huku ni kutaka kupata kiki sawa na dudu baya
 
Tena ni vizuri asije kabisa ili uchawi wake ufanye kazi vizuri

Nimeona na vishabiki uchwara vyake vimegoma kupost msiba wa Ruge( nina wadogo zangu vichwa panzi vinamshabikiaga huyu sperm donor)


Sent using Jamii Forums mobile app
kwani lazima hao wadogo zako wampost? Ruge ana impact gani kwenye maisha yao/yenu?...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Plz nitafutie jina zuri LA kuwapa wale Fitinati.....
 
Plz nitafutie jina zuri LA kuwapa wale Fitinati.....
Silioni labda nikupe mji uyaongeze unayoyajua wewe,manake ishakuwa kama kitendawili nimefafanua hutaki kuelewa na majibu nimetoa.
 
Mpoto nae fala kwani marehemu keshaletwa au keshazikwa? Pumbavu kubwa zikufikie popote ulipo Mpoto bwege nazi
 
Hivi diamond asipoenda atakuwa amepunguza nini msibani?
Kama diamond na al marhum ruge wana bifu ni la kibiashara au BINAFSI?.
tunaambiwa kusaga ana share pale WCB ameshindwa kumwambia diamond afike msibani?
HAO WAPO KIBIASHARA MUDA SI MREFU WANATOA PRODUCT MPYA.
Nahisi alianza private dogo kazingua.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…